International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

New World Order is a pretty frightening theory, even if you choose not to believe in conspiracies. But it doesn’t come as a surprise that millions of people believe there is something going on...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kando na kupoteza wanajeshi 135,000 Urusi pia imepoteza majenerali zaidi ya 20, supapawa ameingia aibu hadi basi tu na yupo bado anapambana kuteka kamji ka chumvi hukooooo. ======= More than 20...
11 Reactions
93 Replies
4K Views
Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi. Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa...
23 Reactions
127 Replies
10K Views
Huku matarajio ya marekani na Korea ya kusini kuivamia Korea ya kaskazini, wamejibu kwa kurusha kombora kama kulipa kisasi cha njama za uvamizi huo.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kudos Wadau. Tunaendelea na vituko vya Walokole. Mchungaji mmja aliyejulikana Kwa jina la Francisco Barajah wa huko Msumbiji amefariki akiwa kwenye mfungo wa siku 40 Akijaribu kuifikia rekodi ya...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Anacho Kifafanya rais felix kchikekedi ni kulitia aibu taifa letu Kila anapo kwenda ni kusema Rwanda ndo wanatuua kuliko yeye aje atuambie wakongo tujenge jeshi imara ili tupate kupigana na huyu...
1 Reactions
11 Replies
909 Views
Ufaransa kama ilivyo huruka ya nchi za kimagharibi alikuwa anajiona ndo Mungu na mmiliki wa nchi za Africa magharibi. Alikuwa ndo kila kitu ndani ya nchi hizo lakini sasa mambo yana muendea kombo...
37 Reactions
82 Replies
6K Views
Msemaji wa Ikulu ya #WhiteHouse John Kirby, amesema kundi hilo limepoteza Wapiganaji wake zaidi ya 9000 ndani ya wiki 1 huku likiendelea kuajiri wafungwa zaidi kutoka Magereza ya #Urusi wengi wao...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Hivi vita vinachekesha, yaani unavamia nchi ya watu halafu unalalamika kwamba usipigwe kwenye baadhi ya maeneo ya hiyo hiyo nchi ya watu.... ================= MOSCOW, Feb 17 (Reuters) - Russia...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wayahudi walihama eneo la Palestina na likabaki kuwa na Wayahudi wachache. Wayahudi walianza kuhamia tena kwenye eneo hilo miaka ya 1900s likiwa chini ya utawala wa dola ya Ottoman na kwenda...
21 Reactions
107 Replies
14K Views
Benki Kuu ya Rwanda imeongeza kiwango cha riba kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 7 kutokana na mfumuko wa bei. Benki hiyo imesema kwamba kiwango cha mfumuko wa bei kilifikia asilimia 20.7 mwezi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀. Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Huku serikali ikiendelea kuwanyonga raia wake ili imlinde 'mungu' wa dini yao, ila wananchi wamedhamiria lazima wafike mwisho wake.....hata wauawe mamilioni....wameandamana miji kadhaa kwa mpigo...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekumbuka mwaka jana kuna kipindi Urusi baada ya kutoa kichapo heavy wanajeshi wa Ukraine wakajifungia kwenye kiwanda cha chuma (nimekisahau jina) wakitarajia wanajeshi wa Urusi wataingia ndani...
11 Reactions
73 Replies
5K Views
Wakuuu Poleee sanaa na Majukumu ya ujenzi wa Taifa. Naomba kujua tofauti kati ya Britain, UK na England Naomba kuwasisha tafadhali #uzi tayari
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Tangu mwanamke auawe na mapolisi kisa kipande cha nywele kuchomoza nje ya hijab, raia wa Iran wameamua liwalo na liwe, wamechoshwa na uonevu wa kidini, wanaendelea kufa, itabidi labda serikali ya...
7 Reactions
222 Replies
10K Views
Ni ajabu sikujua ipo siku hawa watu watakuja kuanza kubadilika na kuacha uzombi wa kidini.... China and Iran have urged mutual neighbor Afghanistan to end restrictions on women's work and...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Moise Katumbi ni kiongozi mwenye nguvu sana sio nguvu ya kupigana nguvu ya akili Mwaka 2015- 2017 Joseph kKbila aliona njia bora ya kumshinda Moise Katumbi ni kumpa kesi mbaya tu Mwaka huu...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Alitangulia kufa mtalii wa Urusi wiki iliyopita, naye mbunge ameaga dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa la tatu humo kwenye hotelini India, jameni Warusi waombewe maana wanakufa sana popote...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022. Kupitia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…