Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee...
Katika uamuzi wa kihistoria, mahakama jijini Los Angeles, Marekani, imeziamuru kampuni za YouTube na Meta kumlipa fidia ya dola milioni 3 (takriban Tsh. Bilioni 7.7) binti mmoja aliyedai kuwa...
Huenda Hali hii yabkuyafukuza majeshi ya NATO Kwa mtindo wa kumfukuza paka mwizi wa mboga yakafanana na Yale ya kumfukuza USA Afghanistan.
Sasa safi hii ni tofauti,ni USA pamoja na wenzake wa...
Serikali ya Zimbabwe imethibitisha kuwa raia 15 wamefariki dunia baada ya kudanganywa na kuingizwa kwenye mapigano ya vita kati ya Urusi na Ukraine, huku wengine 66 wakiendelea kushiriki katika...
Hawa jamaa kwa propaganda hawajambo
Waliiaminisha dunia kwamba wana Intercontinental ballistic missiles zinapiga popote duniani lakini hajawahi kutumia popote zaidi akitaka kulenga mahali ataomba...
Muhoozi Kainerugaba, mwana wa rais wa muda mrefu wa Uganda, Yoweri Museveni na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF):
"Tunataka vita vya Mashariki ya Kati...
Msemaji huyo, Ziv Agmon, alikanusha kuwa kauli zake zilikuwa za kibaguzi, akizitaja kuwa “za kipuuzi,” akidai kuwa yeye mwenyewe ana asili ya Morocco, hivyo hawezi kuwa mbaguzi dhidi ya Wamoroko...
Hegemony ndio sababu ya hii vita. US + NATO hawakujua wapi waishie kwenye kuitawala dunia..
Kama wangekua na heshima kidogo kwa Russia na China na North Korea, na Vietnam Basi tusingekuwa na...
CHANZO CHA PICHA, EPA
Maelezo ya picha, Trump
Donald Trump anasema kumekuwa na "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili " kwa mzozo wa Mashariki ya Kati.
Anasema "ataahirisha...
“Walijaribu kuwafanya mababu zetu kuwa kama vitu, lakini sisi tunajua, na tunapaswa kuthibitisha leo kwamba mababu zetu hawakuwa vitu.”
Mabaki ya Waafrika kadhaa, ambao miili yao ilifukuliwa na...
Kauli za Donald Trump kuhusu mazungumzo kati ya Marekani na Iran zinaonekana kuwa na ukweli fulani, lakini ndani yake kuna muktadha mpana unaohusisha mgawanyiko wa madaraka ndani ya Iran yenyewe...
Kwa hiyo Iran ndio wameshindwa kabisa kulipiza Kisasi cha Netanyahu kumbamiza kiongozi wao mkuu Ayatollah kwa sekunde 40 ?
waliapa kwamba wangelipiza kisasi kwa kumuua Benjamin Netanyahu...
Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo.
Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi...
Vyombo vya ulinzi vya Iran na viongozi wao baada ya kuulizana wote wamesema hakuna mwenye taarifa ya kuwepo kwa mazungumzo na Marekani kama alivyosema raisi Trump ili kumalizia vita kati yao...
According to information from Africa Intelligence, Gandhi Djuna, the singer's real name, was arrested while passing through customs at Paris-Charles de Gaulle airport on 25 March.
He is...
Baraza la Wazee katika jimbo la New Mexico siku ya Jumanne limeiamuru kampuni ya Meta kulipa dola milioni 375 kama adhabu ya madai ya kiraia, baada ya kubaini kuwa kampuni hiyo iliwapotosha...
Mshauri wa kiongozi wa nchi za UAE amehoji uko wapi umoja wa chi za ghuba na ule OIC,mbona wamekuwa wanapigwa tu na Iran na hakuna hata mmoja anayekuja kusaidia.Akaongeza kuwa sasa ndio wamejua ni...