International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

IRANI ameshafanya makosa makubwa sana kufanya majaribio ya makombora balestiki ya (intermediate-range ballistic missiles) Viongozi wa Irani hawatumii akili na wana mihemuko sana wanakurupuka...
13 Reactions
134 Replies
2K Views
Taarifa ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu: "Tunaendelea kushambulia kwa nguvu malengo ya utawala wa kigaidi wa Iran. Jana usiku, tulimwangamiza Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa...
4 Reactions
19 Replies
537 Views
USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days. But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee...
5 Reactions
24 Replies
651 Views
Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na...
10 Reactions
66 Replies
1K Views
Moja kwa moja . Babu Trump ameyatimba inaonekana hii vita aliingia kichwa kichwa bila kupiga hesabu kisawasawa ya all possible scenarios , njia za kuOvercome , pamoja na mbinu za kushinda na...
11 Reactions
23 Replies
575 Views
Takriban watu 24 wamepoteza maisha kufuatia ajali ya basi la abiria iliyotokea siku ya Jumatano, Machi 25, 2026, katika eneo la Daulatdia, wilaya ya Rajbari nchini Bangladesh. Ajali hiyo ilitokea...
1 Reactions
5 Replies
232 Views
  • Featured
Veterani wa vita aliyekimbizwa na mamlaka, Blessed Runesu Geza, anayejulikana pia kama “Cde Bombshell”, amewaomba Wazimbabwe waamke dhidi ya kile anachodai kuwa ni kunyakuliwa kwa dola na wizi wa...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Niaje waungwana Wakuu leo limetolewa onyo kwa ndugu zetu, na rafiki zetu waliopo mashariki ya kati. Onyo hili linapotolewa haswa na nchi ambayo haina uzoefu wa uongo uongo kama Israel na Marekani...
2 Reactions
15 Replies
441 Views
Niaje waungwana Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia...
21 Reactions
89 Replies
2K Views
Maandishi ya pendekezo hilo ambayo yana kifungu kimoja tu, yanaifafanua Qatar kuwa "taifa adui," na inaeleza kuwa vifungu vyote vya sheria za Israel kuhusu mataifa adui, aina zote za sheria...
2 Reactions
3 Replies
222 Views
Waandishi wa habari katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliwa na vitisho vinavyoongezeka kadri mapigano yanavyozidi kushamiri mashariki mwa nchi, kwa mujibu wa shirika la Reporters...
1 Reactions
3 Replies
149 Views
Tovuti ya Travel And Tour World ya Marekani hivi karibuni ilitoa makala, ikisema China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa duniani. Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2025...
1 Reactions
2 Replies
210 Views
Kwa bahati mbaya sana Nchi za Magharibi kupitia mfumo wao wa Democracy, umejikuta katika miongo ya karibuni Serikali zao zikiangukia mikononi mwa Wasoshalisti/Wakomunisti. Huko Spain,UK, US...
4 Reactions
17 Replies
426 Views
Kwa zaidi ya muongo mmoja, Mahmoud Ahmadinejad amejulikana zaidi kama mpinzani wa serikali kuliko mfuasi wake. Katika siku ya kwanza ya vita ya Iran, taarifa ya kuuawa kwa Kiongozi Mkuu Ali...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa. Tangsiri...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Mkuu wa jeshi la polisi Afrika Kusini ametakiwa kufika mahakamani kuhusiana na kandarasi ya huduma za afya ambayo ipo chini ya uchunguzi wa jinai. Jenerali Fannie Masemola “amekabidhiwa notisi ya...
1 Reactions
8 Replies
262 Views
Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge...
2 Reactions
7 Replies
372 Views
Zimbabwean opposition leader Job Sikhala has rejected proposed constitutional amendments aimed at extending the term of office for President Emmerson Mnangagwa to 2030, warning that the move...
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time……. Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake. 1...
9 Reactions
21 Replies
755 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…