Picha: Fang Bin
Fang Bin, Mfanyabiashara mdogo kutokea Wuhan, China aliyesambaza taarifa kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Uviko19 kupitia mitandao ya Youtube na WeChat ameachiliwa huru baada ya miaka...
Picha: Sararat Rangsiwuthaporn
Sararat Rangsiwuthaporn alikamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za kumuua Rafiki yake Siriporn Kanwong ambapo alibainika kuwaua 12 wengine kwa sumu hiyo
Polisi...
Serikali ya Afrika ya Kusini imesema inamshawishi Rais wa Urusi Vladimir Putin ahudhurie mkutano wa BRICS nchini humo kwani watamkamata kutokana na kuwa mwanachama wa ICC.
Rais Putin anafikiria...
From the outside it looks like an ordinary warehouse. But inside this unassuming building, in Hod Hasharon central Israel, is one of the most ambitious energy projects in the Middle East...
Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti.
Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini...
Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar.
Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China...
Wakala wa kudhibiti chakula na dawa nchini humo (Nafdac) imesema inachukua hatua za haraka kuchunguza aina maarufu ya tambi za Indomie baada ya madai ya kuwepo kwa 'substance' ya Ethylene Oxide...
Orodha ya hivi majuzi ya kampuni zinazokua kwa kasi barani Afrika na Financial Times na Statista kwa 2023 inadhihirisha kuwa kampuni katika sekta mbalimbali ziliweza kuendeleza biashara zao hata...
Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi...
(1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa...
Kila mwaka, Mei 9 Warusi husheherekea ushindi wao kwenye vita vikuu vya pili vya dunia, huwa na mbwembwe kama zote za kutunisha misuli, mwaka jana kwenye hotuba ya sikukuu, Putin alibwatuka...
Wamewahishwa kuleeee.
=========
The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group.
Haradhere District Commissioner...
Wakati west wakiendelea kuhakikisha vita haviishi na watu hawapatani China yeye kaendelea kupambana kuhakikisha walio gombana wanapatana! Urusi yeye kaamua kuhakikisha anasaidia majirani zake...
Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia.
Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity)
Hichi kitu kimenishangaza...
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani Mei 1, 2023 inasema Nchi hiyo itaondoa lazima ya Chanjo kwa wasafiri wote wa Kimataifa wanaoingia Nchi hiyo kuanzia Mei 11, 2023.
Hii inafuatia amri ya...
Singapore,China na sasa India ni miongoni mwa Nchi barani Asia ambazo zinapose jeuri ya kutaka kuwa Nchi zenye chumi kubwa duniani ndani ya miaka kumi ijayo!
Uchumi wa China unatarajiwa kuizidi...