Nigeria: Mamlaka kuchunguza tambi 'Noodles' zinazohusishwa na Saratani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,611
1683113150707.png

Wakala wa kudhibiti chakula na dawa nchini humo (Nafdac) imesema inachukua hatua za haraka kuchunguza aina maarufu ya tambi za Indomie baada ya madai ya kuwepo kwa 'substance' ya Ethylene Oxide inayohusishwa na kusababisha saratani

EthyleneOxide ni gesi isiyo na rangi inayoweza kuwaka moto. Inatumiwa hasa kuzalisha kemikali nyingine, huweza kutumiwa kama dawa ya kuua wadudu na kutakasa vifaa vya kitabibu

Nafdac ilisema uchunguzi huo unafuatia zuio la hivi karibuni la kuuzwa kwa tambi zenye ladha maalum ya kuku nchini Malaysia na Taiwan baada ya 'substance' hizo kugunduliwa katika sampuli 11 kati ya 36 za kampuni mbalimbali


..........

Nigeria launches probe into popular noodles brand
Instant noodle brands produced by the Indofood food company

The Indonesian maker of Indomie has defended the safety of its productsImage caption: The Indonesian maker of Indomie has defended the safety of its products

Nigeria's food and drug control agency (Nafdac) says it is taking “swift action” to investigate a popular brand of noodles over alleged presence of a substance associated with increased risks of cancer.

The agency said in a statement it was conducting “random sampling and analysis of Indomie noodles, including the seasoning, for the presence of ethylene oxide".

It said it was extending the investigation to other brands of instant noodles in the Nigerian market.

Nafdac said the probe follows recall of the “special chicken flavour” noodle brands last week in Malaysia and Taiwan after the substance was detected in some samples.

Indofoods, the Indonesian food giant that makes Indomie, has however since defended the safety of its products.

The Nigerian agency said that the implicated brand was not registered for sale in Nigeria, noting that the ports authorities were on alert not to allow its importation.

"We assure the public that thorough investigation of the products will be conducted both at the factory and market levels and our findings will be communicated," it said.


Source: AFP
 
Tumeshakufa kitambo bado kuzikwa tu... Watu wenyewe kama hawa TBS yetu
 
Back
Top Bottom