Mjumbe mkuu wa mazungumzo nchini humo, Spika wa bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema katika maoni yaliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali.
Ghalibaf alisema vitisho vya hivi...
IRGC claim Strait of Hormuz open, military vessels to be ‘dealt with severely’
Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps has issued a statement saying the Strait of Hormuz is “open to the harmless...
Benjamin Netanyahu:
“Iran inaingia kwenye mazungumzo ikiwa ni dhaifu kuliko wakati wowote katika historia ya utawala wa Kiislamu. Walitaka kutunyonga, lakini sasa sisi ndio tunawanyonga wao.”...
Professor Robert Pape msomi nguli kabisa wa sayansi ya siasa, hasa siasa za kimataifa kutoka chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani anaandika. Huyu msomi amefanya tafiti kuhusu mahusiano ya Iran...
Rais Donald Trump ameshiriki makala kwenye Truth Social inayoelezea mkakati unaowezekana wa Marekani wa kuizingira Iran kwa jeshi la majini (naval blockade), baada ya mazungumzo kati ya Marekani...
Rais wa Marekani Donald Trump amewakosoa Viongozi wa Iran baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kushindwa kuleta makubaliano kamili kuhusu suala la Nyuklia.
Kupitia ukurasa wake wa Truth Social...
Shocking footage from inside a Nigerian prison reveals extreme overcrowding, with dozens of inmates packed tightly into cramped, dimly lit cells.
As of early 2026, Nigeria’s correctional...
Kwa kifupi kikao kinafanyika kesho
nini kinajadiliwa ni madokezo
Kuna tofauti kati ya madokezo kutoka pande mbili, na hasa ukizingatia kwa upande wa Marekani ni madokezo ya mtu binafsi, na Iran ni...
Rais D. TRUMP aliainisha malengo matano ya vita dhidi ya iran
1. Kuzuia Iran kumiliki silaha ya nyuklia
2. Kuharibu miundo mbinu ya kijeshi
3. Kuvunja proxies makundi ya iran
4. Kubadilisha...
Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia...
Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia habari za kimataifa usiku wa kuamkia leo, mtakubaliana nami kwamba dunia ilikuwa ukingoni mwa Vita vya Tatu vya Dunia (WW3). Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali...
Tanzania, Mauritius to Further Strengthen Strategic Cooperation
Tanzania and Mauritius have agreed to continue strengthening their strategic cooperation with the aim of promoting trade, the blue...
Bunge la Djibouti limepiga kura kwa kauli moja kuondoa kizuizi cha umri wa kugombea urais, hatua inayomruhusu Rais Ismail Omar Guelleh kugombea muhula wa sita madarakani
Guelleh, anayejulikana...
HU Staff: Jamal Osborne @_j.osborne Investigators are examining a video posted to social media as part of their investigation into a massive warehouse fire that broke out early Tuesday morning in...
Kila nikikumbuka kelele za watu fulani katika vita kati ya Israel, USA na Iran, nakosa raha.
Duniani kuna watu wabishi, tulipigiwa kelele kuwa Netanyahu kafa, sijui waziri wake wa ulinzi kafa...
kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku...