Kuna watu wanataka/wanatamani vita kati ya Hamas/Hezbollah na Israel ipiganwe kiutu.
Sasa najiuliza vita gani ndani yake ina utu? Vita ni vita na bahati mbaya vita nyingi waathirika wakubwa huwa...
Jamaa bila aibu ameanza kulialia kwenye media kama mwenzake Zelensky akiilalamikia marekani kuchelewesha kutuma silaha za kivita israeli.
Hakika mazayuni ni mazayuni.
========
Israeli Prime...
Iceland ni Nchi ambayo ni Kisiwa kinachopatikana kaskazini mwa Dunia katikati ya Bahari mbili za Antarctic na Arctic. Mji wake Mkuu ni Reykjavik.
Nchi hii ina idadi ya watu wanaofikia 332,529...
Wizara ya Afya ya nchini Misri imeeleza kuwa Mahujjaj 35 wa nchi hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika nchini Saudi Arabia kutokana na uchovu na umri mkubwa...
Mahakama ya Uingereza imemhukumu mwanaume wa Kizimbabwe Guy Mukendi (39) kifungo cha miaka 4 na miezi 3 jela kwa kosa la 'kuhadaa' baada ya kutoa kondomu bila ridhaa ya mwenzake wakati wakifanya...
Inasemekana mpaka leo hii Nchi ya Ufaransa huvuna kila mwaka mpaka dola billioni 500 kutoka bara la Afrika kwa kutumia mbinu chafu za unyonyaji, Ugaidi(utekaji), Wizi wa waziwazi na Uharamia wa...
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka.
Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
Muungano wa vyama vya habari na mashirika ya haki za kidijitali nchini India tarehe 28 Mei walipitisha azimio likiitaka serikali kuu kufuta sheria mpya ambazo "zinakusudia kudhibiti" uhuru wa...
Source: Aljazeera
Nb: Jana wamekufa wanajeshi 8 wa israel dhidi ya makomandoo wa Hamas, ingawa idadi hiyo haina ukweli wowote, wanaficha.
Kwa yale waliyoyafanya dhidi ya Taifa linalopigania...
Tangu mwaka 2021ambapo kikundi cha wanamgambo wenye itikadi kali ya kiislamu cha Taliban kiliposhika hatamu nchini Afghanistan, na kuondoka kwa aibu majeshi ya Marekani yaliyokaa nchini humo kwa...
Rais Cyril Ramaphosa
Rais Cyril Ramaphosa anarajiwa kuapishwa kama Rais wa Afrika Kusini kwa awamu yake ya pili. Kama mwanachama wa SADC mwenzetu twendeni tukashuhudie na kumpongeza.
NB...
Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen
Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi...
Kinara wa upinzani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema wakati umefika wa kuiangusha serikali ya utawala huo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu.
Yair Lapid...
Kwa muda mrefu sasa suala la maendeleo ya nchi za Afrika limekuwa ni mjadala kwenye majukwaa mengi ya kiuchumi na kisiasa duniani. Licha ya juhudi zinazofanywa na nchi za Afrika, hatua za...
China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni...
AFRIKA KUSINI: Rais wa zamani na Kiongozi wa chama kipya cha uMkhonto weSizwe (MK), Jacob Zuma amesema chama chake kitaungana na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kupinga Ushirikiano wa Serikali ya...
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani.
Hii ni strategy...