Hayakuwa mazungumzo bali kufokewa kama mtoto mdogo, kwenye kuambatana na kupewa maelekezo:
Majibu ya Natenyahu: "nimekosa mimi. Nimekosana sana. Nimekosa baba." Yobbo style.
Transcript nzima...
Israel imezungukwa maadui pande zote na wengine wenye uchumi mkubwa.
Kimsingi waarabu wote wanatamani Israel ipigwe, ifutwe kwenye ramani ya dunia.
Cha ajabu, wote Wamekwama, wanaiogopa. Nchi...
Ukraine imethibitisha kuzamisha Submarine ya Russia itwayo The Rostov-on-Don ilyokuwa huko Crimean Peninsula, shambulio hilo pia limehusisha kuharibu mifumo 4 ya ulinzi ya S-400 iliyopo Cremea.
Jeshi la Ukraine lipo nchini Mali likijiunga na waasi wa Tuareg wanaopambana na jeshi la Mali pamoja na Russia wakisaidiwa na mercenaries wake. Hii imefichuka baada ya Serikali ya Mali kutangaza...
Vurugu hizi ni kufuatia Shambulio la Visu katika Darasa la Dansi huko Southport lililosababisha Vifo vya Wasichana Watatu wadogo, huku kadhaa wakijeruhiwa.
Kulingana na Polisi, uvumi wa uongo...
Ndege ya mizigo ya Jeshi la Russia inashusha zana za Kivita huko Tehran ikiwa ni katika kuhakikisha package ya kipigo kwenda Israel kinafanyika kinatekelezwa kiustadi..
A military transport...
Hali ya usalama inazidi kuwa tete huko Tehran, Iran baada ya serikali ya nchi hiyo kuanza uchunguzi wa maafisa wake wa usalama kuhusu kuhusika kutoa usaidizi kwa Israel katika njama za mauaji ya...
Iran Issues NOTAM for "Military Action." IRGC Commanders did not show up at prayer ceremony
AUGUST 01, 2024
The government of Iran has issued Notice(s) to Air Missions (NOTAM) closing certain...
Kufuatia viashiria vya vita kuibuka wakati wowote huko Mashariki ya Kati UK na US wameanza kuwaondoa Raia wa Lebanon na Iran
Afrika Mashariki tuungane Ili nasi tuwaondoe Raia wetu kwa haraka...
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route...
Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea.
Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa...
Marekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel.
Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari...
Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel
BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East!
A...
Hatua inayofuata kutokana na vita kati ya Israel na Hamas itakuwa ni vita vigumu na vya muda mrefu sana.
Tayari mataifa washirika wa Israel katika juhudi ya kupotosha na kupunguza athari zake...
Peace,
Marekani imetoa taarifa rasmi ya shambulio la vita kamili kwa Israel kutoka Iran, huku mamlaka za Iran zikionya vikali nchi za Quatar, Saudi Arabia na Egypt kutoruhusu anga lao kutumiwa na...
Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star...
🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa...
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.