Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume...
Kuna wimbi la vijana Africa na Asia kuandamana kwasababu ya kupanda kwa gharama za kuishi kupanda, ufisadi ukosefu wa ajira na itawala wamabavu, Kenya, Bangaladeshi, Uganda Nigeris Senegal...
15 FEBRUARY 2024
Kano City, Jimbo la Kano
Nigeria
WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI
https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0
Watuma ujumbe mzito...
Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye...
Muhammad Yunus
Muhammad Yunus, ambaye ni mshindi wa Nobel ndiye atakayeongoza serikali ya mpito ya nchi ya Bangladesh baada ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina kujiuzulu na kukimbia nchi...
Katika taarifa 'exclusive' iliyochapishwa na Reuters, ni kwamba usiku mmoja kabla ya kiongozi wa muda mrefu Sheikh Hasina kukimbia ghafla kutoka Bangladesh kutokana na maandamano yenye vurugu...
Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao.
Kisa cha kwanza punda kuongea.
Baalam
wakati wana wa...
Marekani imezieleza Iran na Israel kwamba migogoro ya Mashariki ya Kati haipaswi kuongezeka, Waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken amesema Jumanne, huku kukiwa na hofu kwamba Tehran na washirika...
Ya muhimu....
1. Israel lina Wanajeshi wenye Uzalendo usio wa mashaka na Taifa lao
2. Israel lina Jeshi lenye si tu bora Wanajeshi bali Wanajeshi waliosoma vyema na wana Akili sana Kichwani
3...
Iran imeanza kuiadhibu Marekani kwanza kabla ya kuingia Israel baada ya kifo cha Ismael Haniye.
Makombora kadhaa yamerushwa kwenye kambi ya Marekani iliyoko Iraq na kusababisha maafa makubwa...
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake...
"Isolate the fifty richest Jews and all wars will cease". ~Henry Ford
What motivated this man to accuse Jews as the source of all wars?
Is it real that wars are money-making for the rich?
Kuna mambo hayana tija. Katika hayo ni pamoja na kukiri kuhusika na shambulizi au madhara ya shambulizi yanapowakuta.
Nani asiyejua kuwa wao wanazidiwa mno rasilimali?
Kwamba kuwaunga mkono ni...
Wanaukumbi.
MOSCOW -
Mshirika mkuu wa Rais Vladmir Putin aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatatu kwa mazungumzo na viongozi wa Iran akiwemo rais na maafisa wa ngazi za juu wa usalama huku...
Maandamano ya kupinga Serikali yamesababisha machafuko kati ya Polisi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ambapo baadhi ya Waandamanaji wanadai walitaka kufanya maandamano kwa amani lakini Jeshi la Polisi...
Jeshi ni sehemu muhimu ya nchi na usalama wake. Kila mwaka nchi hutenga bajeti kwa ajili ya kuimarisha majeshi yake. Nchi nyingi duniani huchukua tahadhari za kiusalama kwa kuimarisha majeshi yake...
Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga.
Bwana Dangote anadai aliamua kujenga...
I believe proxy wars will determine who wins WW3 and gets to shape the new world order.
There are numerous ongoing proxy wars at the moment.
However, the ones I believe will prove decisive will...
Kuanzia Ijumaa ya wiki iliyopita masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka kwa kasi sana. Wachumi wanasema hii inaweza kupelekea kushuka kwa uchumi (economic recession) nchini Marekani na huenda...