International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
15 Reactions
255 Replies
13K Views
Hii ndio habari Donald trump aliyokuwa anasema Leo kwenye Aljazeera ...je Kuna ukweli wowote kuwa china..Korea ya kaskazini na urusi hawaiogopi tena marekani na kwamba mareka IPO katika hatari...
2 Reactions
2 Replies
562 Views
Hadithi za Mtume Muhammad (S.A.W) pia zinaelezea suala hili: Mtume Muhammad (S.A.W) alisema: "Mtu ambaye anapigania ardhi yake kwa ajili ya kudhibitiwa kwake, ni shahidi." (Sahih Muslim). Hadithi...
6 Reactions
16 Replies
851 Views
Kuna uvumi Iran inawasaidia Israel kwa kujifanya adui wao ili awaingize mkenge adui wa kweli wa Israel, amesema Noah mahakouf Hammed wa Lebanon Ameshikilia point Tatu kwamba 1. Iran Ana play part...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Toka Rais Biden akubali kujitoa kugombea Urais Kwa maslahi ya Chama chake na kumpa nafasi VP Harris,Hali ya uwanja wa vita vya kuelekea Pennsylvania Avenue ilibadilika haraka. Utafiti wa kura za...
2 Reactions
22 Replies
992 Views
Wadau Hamjamboni nyote? Haipoi hadi iishe na msako dhidi ya magaidi unaendelea kwa kasi ileile Muda huu tayari IDF wameshafanya yao na aliyekusudiwa tayari kashatangulizwa mbele za haki...
2 Reactions
9 Replies
844 Views
Kilipuzi chenye ukubwa wa inchi 3x6 , sawa na tofali la kuchoma kilichotegwa chini ya kitanda na vijana wa Ansar al-Mahdi security waliokuwa wakilinda nyumba ya wageni mjini Tehran, Iran...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake...
6 Reactions
68 Replies
4K Views
🚨🇧🇫- Another coup attempt foiled. Alright, folks, I think I will stop counting the number of coup attempts we’ve foiled so far. But here’s what @CapitaineIb226 revealed to us this Tuesday...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza Soma zaidi hapo chini: Mungu ibariki Israel ============= IDF: Top...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Serikali imetoa tahadhari ya kutokea kwa Mawimbi Makubwa ya Baharini (Tsunami) baada ya Miji ya Kyushu na Shikoku kupigwa na matetemeko mawili yenye ukubwa wa Richa 7.1 na 6.9 Miji iliyopewa...
3 Reactions
7 Replies
745 Views
Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume...
3 Reactions
0 Replies
361 Views
Kuna wimbi la vijana Africa na Asia kuandamana kwasababu ya kupanda kwa gharama za kuishi kupanda, ufisadi ukosefu wa ajira na itawala wamabavu, Kenya, Bangaladeshi, Uganda Nigeris Senegal...
1 Reactions
1 Replies
384 Views
Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
0 Reactions
3 Replies
402 Views
15 FEBRUARY 2024 Kano City, Jimbo la Kano Nigeria WATAASI RAIA, HALI NGUMU YA MAISHA KASKAZINI, WAMECHOKA AHADI ZETU VIONGOZI https://m.youtube.com/watch?v=F_dw0D2tcP0 Watuma ujumbe mzito...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye...
0 Reactions
3 Replies
613 Views
Muhammad Yunus Muhammad Yunus, ambaye ni mshindi wa Nobel ndiye atakayeongoza serikali ya mpito ya nchi ya Bangladesh baada ya Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina kujiuzulu na kukimbia nchi...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Katika taarifa 'exclusive' iliyochapishwa na Reuters, ni kwamba usiku mmoja kabla ya kiongozi wa muda mrefu Sheikh Hasina kukimbia ghafla kutoka Bangladesh kutokana na maandamano yenye vurugu...
1 Reactions
10 Replies
991 Views
Israel mambo yake yanaogofya sana! Kama taifa lenu halipo timamu kujifanya kutunishia misuli Israel basi mjue mnaweza msitoboe miaka ijao. Kisa cha kwanza punda kuongea. Baalam wakati wana wa...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…