International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ni mojawapo ya vinu vikubwa vya nyuklia Ulaya kilichokuwepo Ukraine kwa ajili ya kuzalisha umeme, kilichukuliwa na Urusi katika uvamizi wa Ukraine na sasa kipo chini ya himaya ya Urusi. Urusi ina...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika siku mbili hizi tumeshuhudia waingereza waliochoshwa na vitendo vya wahamiaji hasa hasa wale wa kiislam, kujichukulia sheria mkononi na kushambulia maeneo ya waislam. mfano walianzisha...
7 Reactions
173 Replies
6K Views
Wanaukumbi, Angalia hizo video Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo. Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor...
10 Reactions
153 Replies
5K Views
Naamini mpaka sasa duniani hakuna, kama wapo ni wachache sana, wasioelewa kuwa kuna vita inapiganwa kati ya Hamas (Wapalestina) na Mazayuni (israel). Naomba ieleweke, hakuna vita ya Waarabu na...
19 Reactions
186 Replies
7K Views
Wale wanaojidai kuwa huko marekani kuna uhuru na demokrasia isiyo na mipaka wajifunze kwenye matukio kama haya na waelewe kuwa dola siku zote hutumia maguvu. ======== The FBI and state police...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za muda huu ndege za kijeshi za Israel limetanda na kuzunguka kwa Kasi ya kimbunga juu ya anga la Beirut ambayo ni mjii Mkuu wa Lebanon. Ndege hizo zimezusha...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amepatikana na COVID-19, Ikulu ya White House ilithibitisha Jumatano, Julai 17. Biden alikuwa Las Vegas kwa hafla ya kampeni alipoambiwa alikuwa na COVID. Ikulu ya...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Watu wengi wanajua kwamba China ni nchi iliyoendelea. China sio developed country, ni nchi inayoendelea. Uchumi wa China wa 18 trillion USD GDP ni mdogo ukilinganisha na wingi wa raia wake. Pato...
30 Reactions
221 Replies
11K Views
Chek mambo hayo jamaa tumewaacha mbali sana kiuchumi kweli uchumi wa kati kiboko GDP yetu ni dola bilioni 50 Wakati yao North Korea ni bilioni 18 tu Huku kenya wao ikiwa ni bilioni 70 Korea ya...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini! Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa! Trampo anasema, nchi...
3 Reactions
19 Replies
900 Views
Biden signs Israel, Ukraine, TikTok bill into law President Joe Biden signed into law measures to provide aid to Israel, Ukraine and Taiwan, as well as force the divestiture of social media...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika mtazamo wa Kiislamu, kufa katika vita vya jihad kunaweza kuwa na faida na hadhi maalum, kulingana na mafundisho ya kidini. Hapa chini ni baadhi ya faida na hadhi zinazohusishwa na kufa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu, katika kufuatilia vita mbalimbali zinazoendelea Duniani kila siku kuanzia ile ya Ukraine na Urusi mpaka hii ya Israel na Hamas, hata tukija hizi vita za Jeshi la kongo na Waasi ni...
15 Reactions
72 Replies
3K Views
Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Sierra Leone has brought in a new law banning child marriage with much fanfare at a ceremony organised by First Lady Fatima Bio in the capital, Freetown. Invited guests, including first ladies...
1 Reactions
5 Replies
905 Views
Mabaki ya Ndege ya Voepass baada ya ajali Ndege ya Voepass kabla ya ajali Video iliorushwa na TV GloboNews umeonyesha eneo kubwa likiwa kwenye moto na moshi ukionekana kupanda kutoka kwenye...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
If you put red ants and black ants in a jar, this is what will happen: At first nothing will happen, but if you violently shake the jar and dump the ants back on the ground the ants will fight...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haki ya Iran ya kujibu ipasavyo jinai ya utawala wa Kizayuni na kueleza kwamba, amesema: Iwapo Wamagharibi wanataka kuzuia ukosefu...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…