International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia. Ni jambo la kushangaza kuona jinsi...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Bilionea WA Nigeria amezikwa na Gari mpya Bmw lenye dhamani ya shilingi milion 800 .. Mazishi ayo ya kufuru yamefanywa na Rafiki zake aliokua akifanya nao biashara kabla hajapata umauti.. === A...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la...
14 Reactions
86 Replies
5K Views
Russia imekumbukwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.2 huku tahadhari ya tsunami ikitolewa.
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache. Na...
23 Reactions
214 Replies
4K Views
Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael. Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na...
16 Reactions
76 Replies
3K Views
Nilazima tumsimamishe Putin. Nilazima ajuwe hii vita hatoshinda. NATO members ukisikiliza maneno ya viongozi wa NATO utajuwa kile kipo mbele Dunia ya majasusi. Wanajambo lao ambalo huwendavmm na...
4 Reactions
77 Replies
4K Views
Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha. Takriban benki zote za Uchina zinakataa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je...
0 Reactions
3 Replies
427 Views
Kulingana na Shirika la Usalama wa Afya la Uingereza (UKHSA) imeonyesha takwimu mpya ya ongezeko la visa vya Kisonono kutotibika iamka ya hivi karibuni huku idadi ya wagonjwa kuongezeka nchini...
7 Reactions
85 Replies
4K Views
Dunia inaenda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao huenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakachotokea. Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi...
16 Reactions
100 Replies
10K Views
Chanzo cha picha,Reuters Ingawa "Z" inaweza kuwa ishara ya Urusi ya uvamizi wake, pembetatu inawakilisha jaribio la ujasiri zaidi la Ukraine la kuiondoa. Zimepachikwa au kupakwa rangi kando ya...
1 Reactions
120 Replies
5K Views
Uingereza: Saba wasakwa na polisi baada ya hoteli ya wahamiaji kushambuliwa Watu saba wanatafutwa na polisi baada ya vitu kurushwa nje ya hoteli inayohifadhi wahamiaji wakati wa maandamano...
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake.... ==== OECD Secretary-General Mathias Cormann Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi Roy Ibonga's personal archive Kuna takriban maelfu ya watu weusi wanaoishi nchini Urusi- wakiwemo waliozaliwa nchini Urusi...
1 Reactions
1 Replies
664 Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza habari ambazo zina trend kwa sasa ni kwa Majenerali wa Jeshi la Israel kuitaka serikali ya Netanyahu kusitisha vita huko Gaza ili mateka wakombolewe salama na...
9 Reactions
65 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo yanafurahisha.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa...
5 Reactions
114 Replies
7K Views
Wengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine...
14 Reactions
79 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…