International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mambo ni mengi muda ni mchache... CHIFU HANGAYA ni Rais bora katika muda bora kwa malengo makubwa bora ya ustawi wa watanzania na walimwengu kwa ujumla. Dola la Saudi Arabia limeamua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni,"...
0 Reactions
3 Replies
494 Views
IMPORTANT: COLLAPSE OF UKRAINE GOVERNMENT HAS BEGUN . . . September 03, 2024 Important: The collapse of the Ukraine government has started; the following ministers have resigned: Vitaliy...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Zaidi ya Mwanamgambo 600 wa Ukraine waliokua katika shule yaafunzo ya Kijeshi wameuwawa baada ya Shambulio la Iskender toka Russia Kulingana na aliyekuwa mbunge wa Ukraine, Igor Mosiychuk...
13 Reactions
55 Replies
4K Views
A well-connected Economist admits US elections are all an ILLUSION and RIGGED and because of this Donald Trump may not "be ALLOWED" to become President again September 05, 2024 According the...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
DIGITALI: MTANDAO WA X KUFUNGA OFISI ZAKE BRAZIL Mtandao wa X umedai kuwa Jaji Alexandre de Moraes wa Mahakama Kuu ya Brazil alimtishia mwakilishi wa X nchini humo akamatwe endapo hatatekeleza...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanaukumbi. 🚨🇺🇦 BREAKING: Wanachama wafuatao wa Serikali ya Ukraini WAMEJIUZULU EN MASSE hadi Zelensky: Waziri wa Mambo ya Nje Dmytro Kuleba Waziri wa Sheria Denis Maliuska; Waziri wa Viwanda...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli...
3 Reactions
85 Replies
5K Views
Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika. Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk. Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao...
8 Reactions
140 Replies
4K Views
Daniel Mthimkhulu, alidanganya kuwa na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Ujerumani Aliajiriwa na PRASA mwaka...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC umefunguliwa leo tarehe 5 hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping alitoa hotuba akitangaza kuinua uhusiano kati ya China na...
1 Reactions
1 Replies
353 Views
Vita vya upande wa Gaza vimepata umaarufu kwa vile ni vya wazi na athari zake zinaoneshwa kwa ulimwengu mzima, lakini kumbe vita vinavyoendelea kimya kimya kule ukingo wa Magharibi na Mashariki ya...
9 Reactions
102 Replies
6K Views
Baada ya shambulio kali la Urusi kuua idadi kubwa ya askari kuruta wa Ukraine kwenye jimbo la Donest,leo raisi Putin wa Urusi ameweka wazi kuwa wamekuwa wakisonga mbele kwa kasi kuelekea kushika...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi, Mongolia ni Taifa ambalo limesaini makubaliano ya kuwakamata wale wote ambao wana “arrest warrant” ya ICC, ambao watafika kwenye taifa lao. Mfano European Commission imeitaka Mongolia...
11 Reactions
111 Replies
7K Views
Familia ya Walz inaonekana kuwa na mgawanyiko mkubwa wakati ambapo mgombea mwenza wa Kamala Harris, Tim Walz, ambaye ni Gavana wa Minesota anajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2024 huko Marekani. Jeff...
2 Reactions
1 Replies
513 Views
Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye...
2 Reactions
6 Replies
644 Views
Serikali ya Rais Xi Jinping imeahidi kutoa takriban Dola za Marekani Bilioni 50 (zaidi ya Tsh. Trilioni 139.39) kwaajili ya kufadhili shughuli mbalimbali za Ushirikiano wake na Mataifa ya Afrika...
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…