Mkuu wa majeshi ya Uganda Gen Muhoozi KainerugabaUganda amechapisha ujumbe katika mtandao wa X kuwa nchi yake ipo tayari kutuma askari kuisaidia Israel iwapo itashambuliwa na Iran , hii ni baada...
Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika.
Kila siku mnaimba "death to...
Wizara ya Sheria nchini Marekani ilisema siku ya Jumanne kuwa FBI imekamata mwanaume mmoja kutoka Afghanistan ambaye maafisa wa usalalma wanasema alihamasishwa na kundi la wanamgambo la Islamic...
Bwana Dangote Tajiri Mkubwa Afrika ameeleza Kwa uchungu namna Mtu mweusi ana roho mbaya ya kuthamini vitu vya mweupe lakini sio vitu vya kwao weusi.
Vikwazo alivyokutana navyo bwana Dangote ni...
Elon Musk ni tajiri namba one duniani na utajiri wake ndio kwanza unaanza kustawi. Sasa juzi ameonekana akimsapoti Trump kwenye kampeni zake huku akiruka na kushangilia hadi nguo zikamvuka na kuwa...
September 20, 2024
The move comes as Chinese officials aim to deal with a shrinking population and an aging work force
We have more people coming into the retirement age, and so the pension...
Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea...
Viongozi wa mashirika ya ndege ya umoja wa ulaya (EU airlines bosses) kwa kaulj ya pamoja wamezitaka kampuni za ndege kutoka china kuwekewa tozo kwa kile walichokidai ni ushidnani usiokuwa na...
Serikali ya Ufaransa imemuamuru Omar bin Laden, mtoto wa kiongozi aliyeuawa wa Al Qaeda Osama bin Laden, kuondoka nchini humo kutokana na machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.
Waziri mpya...
Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa.
Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔
---
🚨Just In - Initial reports of...
Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa...
Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel...
Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana.
Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake...
Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania...
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.
Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua...
Morocco imeipiku China, Japani na India na kuwa msafirishaji mkuu wa sekta ya magari kwa Umoja wa Ulaya. Katika mwaka wa 2023, nchi hii ilipata dola bilioni 13.7 kutokana na usafirishaji wa...
Maombi ya Watu takribani 371 waliokua katika mchakato wa kujaza fomu za kuiomba Serikali ya Switzerland iwaruhusu kujiua kupitia sanduku jipya maalum kwa ajili ya kujiua liitwalo ‘Sarco...
Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno.
Israel inaendelea kula vichwa vya...
Maajabu (kama walivyokuwa wajinga) hayatakaa yaishe.
Ya kwamba mara ya mwisho Ilikuwa angalau mwaka huu.
Ya kuwa madai haya si kutokea Kwa vyanzo reja reja:
La kutia moyo ni kuwa vita vyote...