International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii video niliitizama Oct 2023, kipindi Israel inajiandaa kufanya mashambulizi Gaza kama retaliation ya Oct 7. Nikaipuuzia, baadae baada ya kusikia mauaji ya watu karibu 40K nikaitafuta kwenye...
22 Reactions
88 Replies
5K Views
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi. Ni vipigo viwili tofauti...
30 Reactions
189 Replies
8K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo --- October 14, 2024 IDF chief visits base hit in ‘serious and...
13 Reactions
70 Replies
4K Views
Hezbollah Leo imeshambulia kwa kombora nyumba aliyokuwepo waziri mkuu WA Israel Benjamin Netanyahu leo, Taarifa za kuaminika kutoka Israel zinasema waziri mkuu wao alifanikiwa Ku escape huku...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi. Dr. Umar Johnson kasema kuanzia...
57 Reactions
757 Replies
18K Views
Wadau hamjamboni nyote? Naomba sote kwa nguvu moja bila kujali itikadi zetu mniunge mkono ninapoa. WITO kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyau awaonee huruma ndugu zetu wa Mashariki ya kati na hivyo...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo. Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq...
11 Reactions
162 Replies
8K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya...
3 Reactions
75 Replies
4K Views
Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon. Pia Israel imefanya shambulio...
8 Reactions
427 Replies
8K Views
Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel halipoi hata kidogo na muda tayari yule Naibu kamanda alihusika na kurusha roketi Israel keshaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 3min ago...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Yeeeerrrrreeeeh! He is dead. Kafa ama hajafa? Hamas sympathisers sasa hivi wanajifariji wakiwa na maumivu makali ooh kila mtu atakufa sijui Hamas ni ideology. Kwani nani hajui kila mtu atakufa...
1 Reactions
3 Replies
436 Views
HAVANA (AP) — A massive outage left millions of Cubans without power and prompted the government Friday to implement emergency measures to slash demand, including suspending classes, shutting down...
2 Reactions
11 Replies
710 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametamba kwa kusema kwamba, wao kama Israel halipo eneo la mbali kwao wakiamua kukufikia ama kukushughulikia.
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuuawa kwa kiongozi wa Hamas 'haisaidii' mazungumzo ya kusitisha mapigano, asema Biden Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh "hayasaidii" mazungumzo...
0 Reactions
4 Replies
557 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Ni maisha ya mashaka mashaka sana kwa kweli. Viongozi wa mashujaa wetu kwa sasa wana hali mbaya sana. Moja haikai mbili haisimami. Wanaishi kwa kujificha ficha sana. Kama panya. Wanaishi mashimoni...
9 Reactions
14 Replies
911 Views
Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia...
4 Reactions
4 Replies
574 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini: October 18, 2024 IDF says Hezbollah commander in Taybeh area of southern Lebanon killed in airstrike Today, 8:12 am 2 The military...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…