International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wabunge wamepiga Kura na Kumchagua tena Waziri Mkuu, Shigeru Ishiba kuendelea na nafasi hiyo licha ya Muungano wake kupoteza wingi wa Wabunge katika Uchaguzi wa Baraza la chini mwezi uliopita...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
2016 hadi 2020 ni kipindi ambacho watu wengi sana walikuwa wahanga wa kuziamini habari za kumchafua Mwamba, hasa hapa kwetu Tz ilikuwa rahisi sana kuwa brainwash wabongo, hata humu JF 98% walikuwa...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto...
7 Reactions
8 Replies
906 Views
Ingekuwa huko Galilaya ya kale uwezekano wa Trump kushinda uchaguzi Marekani ungekuwa ndoto ya mchana, angekumbana na nguvu ya dola na kila aina ya mfinyo kuhakikisha mgombea wa chama tawala bi...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi; Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups. Rais...
50 Reactions
159 Replies
6K Views
hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na...
0 Reactions
5 Replies
629 Views
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo...
35 Reactions
707 Replies
72K Views
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
9 Reactions
152 Replies
9K Views
Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao...
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Ni hivi Uchaguzi wa USA umetoka mafunzo yafuatayo: 1: Kuna ulimwengu wa roho 2: Kuna ulimwengu wa Mwili -Na ulimwengu wa roho ndiko vita vinakopiganwa.Na mahindi kutangaza.! -maisha ya watu ni...
3 Reactions
8 Replies
541 Views
  • Closed
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi...
41 Reactions
1K Replies
108K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mapema kabisa nawaletea orodha kamili ya majina ya wanatajwa kumrithi Kiongozi Mkuu wa Hamas aliyeuawa Leo na IDF Kamanda Mohammed Sinwar Kamanda Khalil Al Hayya Kamanda...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Marais wa Afrika ni walewale, uchawa na ujinga kila sehemu😹🤣🤣 ==== Raia wa Ghana wametoa malalamiko yao baada ya Rais wa Nchini humo, Nana Akufo-Addo, kuzindua Sanamu yake iliyojengwa kwa...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa...
10 Reactions
169 Replies
6K Views
Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia. Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo...
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Mifumo ya Demokrasia na sheria imeona mbali. Huwezi mshitaki rais aliye madarakani. Kesi nyingi zilizofunguliwa na mamlaka za kisheria za shirikisho (Federal cases) zinakufa zote. Kesi...
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake. Katika jiji la kusifika la London...
17 Reactions
167 Replies
63K Views
Iran imekanusha madai ya Wizara ya Sheria ya Marekani kuwa ilikuwa na mipango ya kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Taarifa ya Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, imesema madai...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…