Trump aliapa atawekeza nguvu kubwa kuleta makubaliano ya kuituliza vita ya Ukraine na Russia, Siku chache baada ya kushinda uraisi, Putin rais wa Urusi alisema yupo tayari kwa majadiliano ya...
Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku.
Miss Denmark, Victoria...
Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa...
Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka...
Imeelezwa kuwa Wananchi wamepiga Kura ya 'Ndio' kwenye mabadiliko ya Katiba yaliyopendekezwa na Serikali iliyomuondoa madarakani Ali Bongo na kumteua Jenerali Brice Oligui Nguema kuongoza taifa...
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria, na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.
Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu, na kuzuka kwa...
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah...
Rais wa China Xi Jinping amesema yuko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Donald Trump kuhakikisha mpito mzuri katika uhusiano wa mataifa yao.
Xi alitoa kauli hiyo alipokutana kwa mara ya...
Waislamu wanaoishi Marekani walikubaliana kwa kauli moja wampigie kura Trump kwamba atawasaidia kwenye chuki zao dhidi ya Wayahudi, ila jamaa kawageuka na kufanya kinyume, kateua Wayahudi kote...
Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
---
MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP
Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari...
DR Mambo Jambo ,tupe ukweli kuhusu hii kitu, inawezekana tulidanganywa!
Donald Trump has chosen Robert F Kennedy Jr as his new health secretary
Mr Kennedy - a known vaccine sceptic - previously...
Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na...
Ripoti mpya ya shirika la Israel, IMPACT-se, imefichua kuwa zaidi ya asilimia 10 ya wakuu wa shule na maafisa wa elimu waandamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina...
Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya...
Mtaani kuna polojo nyingi hasa mashabiki wa mpira. Wanadai Brazil ni nchi maskini.
Wanadai Brazil wanategemea mpira. Wanadai wa Brazil wana njaa.
Jamani Brazil ni nchi tajili. GDP yake ni...
Tulisikia sana, na wababe wa Tanzania wakaimba Mazayuni watajuta. Anga likafungwa tarehe 4 hadi 6 Novemba 2024 tukajua ahadi ya 3 ya ukweli imewadia.
Nauliza, hii oparasheni tuliyoingojea kwa...
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia...
Waziri Mkuu wa Luxembourg Xavier Bettel (Mwanaume) amefunga ndoa na 'mpenzi' wake wa siku nyingi Gaunthier Desteney (Mwanaume).
Muungano huu wa jinsia moja ni wa kwanza kufanywa na kiongozi wa...
Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao.
Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki...