International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa...
12 Reactions
91 Replies
4K Views
Last month i talked about one of the most carefully guarded of all intelligence secrets,the existence of russian robotoids. As i explained last month,they are the key factor in understanding...
1 Reactions
88 Replies
9K Views
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata...
3 Reactions
5 Replies
584 Views
Hizi ni habari motomoto kutoka Kwa makamanda mashujaa wasio na hofu yeyote. Niwatakie sabato njema December 21, 2024 Following the missile attack on Tel Aviv, Houthi official Hezam al-Asad has...
2 Reactions
14 Replies
824 Views
Something big is cooking. The judges canceled Netanyahu’s testimony tomorrow because of a special security event. The Houthis in Yemen are about to find out that they messed with the wrong...
9 Reactions
79 Replies
4K Views
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: =========== December 11, 2024 Tomb of Assad’s father set on fire in Syria hometown Rebel fighters stand next to the burning gravesite of Syria's late...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Putin pia amesema kuwa Urusi iko tayari kwa mazungumzo na maridhiano kuhusu Ukraine, lakini inahitaji upande wa pili uwe tayari pia. Aidha, alionyesha utayari wa kukutana "wakati wowote" na Rais...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Baba wa Taifa la Sangapore LeeKuan Yew aliposhinda uchaguzi mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 1959 alikuta nchi ipo katika hali mbaya sana katika huduma za Afya,Elimu,Rushwa na...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam Jamani, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kuna mambo ni mpaka nimeanza kuogopa, wiki 4 zilizopita Trump alimtania Canada Pm kwa kumwita Gavernor wa great state of Canada eti kwamba...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa Sasa yamezuka mapigano ndani ya West Bank kati ya Jeshi la Mamlaka ya Palestina na wapiganaji wa Jenin Fighters. Mapigano hayo ya azidi kushika kasi Sana. Nilishasema Tangu Hamas na Fatah...
3 Reactions
8 Replies
970 Views
Wadau hamjamboni nyote? Chanzo cha usalama cha Israel ambacho hakikutajwa jina kilichotajwa na Redio ya Jeshi kinasema kuwa tukio la kuchomwa moto na uharibifu wa msikiti katika mji wa Marda...
2 Reactions
8 Replies
798 Views
Sarafu ya Iran yashuka hadi chini kabisa huku kukiwa na mvutano kati yake na Marekani na Ulaya. Sarafu ya Iran iliendelea kuporomoka siku ya Jumamosi, na kudorora zaidi dhidi ya dola ya Marekani...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA. Kanunuliwa, yuko mfukoni. Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika. Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
11 Reactions
150 Replies
7K Views
Kati ya mwaka 1960 hadi 1966, Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya Nyuklia nchini Algeria katika maeneo mbalimbali ya jangwa la Sahara. Ufaransa ilifanya majaribio haya kwenye maeneo ambayo...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati? Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile...
15 Reactions
114 Replies
5K Views
Marekani imetangaza vikwazo kwa kampuni mbalimbali zilizohusika kwenye ujenzi wa bomba la gesi la Nordstream 2 lililokuwa likisafirisha gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya magharibi kabla ya kulipuliwa...
0 Reactions
5 Replies
812 Views
Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa...
15 Reactions
32 Replies
1K Views
Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince...
19 Reactions
158 Replies
8K Views
Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear...
45 Reactions
366 Replies
14K Views
Back
Top Bottom