International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanaukumbi. Hong Kong CNN — Beijing announced a broad package of economic measures targeting the United States on Tuesday, hitting back after US President Donald Trump imposed 10% tariffs on...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe? Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Congratulations Her Excellency President, Hon, Dr. Samia Suluhu Hassan for the Global Goalkeeper Award! I‘m offering my heartfelt congratulations on your hard-earned accomplishment ensuing to...
0 Reactions
2 Replies
416 Views
Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa. Na ni aibu hasa kwa...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge...
3 Reactions
15 Replies
983 Views
Huu ni ujinga. Ni upumbavu wa hali ya juu. Hawa ni waandamanaji wanaopinga sera za Rais wa sasa wa Marekani za kukabiliana na suala na uhamiaji haramu. Wengi wa hawa waandamanaji ni Walatino...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Samsung, LG, Kia, POSCO na makampuni mengine mengi ya Korea yamelazimika kutathmini upya gharama za kuendesha viwanda nchini Mexico na Kanada, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusisitiza...
0 Reactions
2 Replies
575 Views
Canada imewasilisha ombi la kushtukiza usiku wa kuamkia leo la kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya, likichochewa na matamshi ya Donald Trump kuhusu kuifanya nchi hiyo kuwa jimbo la 51 la Marekani...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
"IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo...
0 Reactions
2 Replies
651 Views
Kufuatia mauaji ya Askari 14 wa Jeshi la Afrika Kusini SANDF waliouawa na M23 (wanaosaidiwa na Rwanda) Wanasiasa nchini A/Kusini akiwemo Kiongozi wa EFF Julius Malema anashinikiza ubalozi wa...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka. Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kutokana na vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC,tarehe 26 na 27 January 2025, watu 5 nchini Rwanda walipoteza maisha kutokana na risasi na makombola yaliyotua nchini Rwanda, mjini Rubavu...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea...
9 Reactions
31 Replies
3K Views
▪️GDP California ~ 3.9 Trillion USD Africa ~ 3.1 Trillion USD ▪️GDP per Capita California ~ 100,042 Africa ~ 1,740 USD ▪️Population California ~ 39.2 Million Africa ~ 1.4 Billion ▪️Labour...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft. The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Kabla ya kuilaumu Rwanda kuhusu suala la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), nataka nikupatie historia fupi kuhusu kinachoendelea katika sehemu ya mashariki ya Congo. Hii ilianza...
10 Reactions
49 Replies
4K Views
Baada ya China, Mexico na Canada kushughulikiwa sasa ni zamu ya umoja wa Ulaya kuongezewa tarrifs na utawala wa Trump...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Asema Goma ni nchi kamili inayojitegemea Waasi wanadai tayari hiyo ni nchi huru. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: The head of M23 Rebels in Goma City, General...
15 Reactions
90 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…