Marais na wawakilishi wao waliokaa Dar es salaam tarehe 08 Febuari kujadili amani ya Kongo ni bure kabisa. Nilisema hili mapema kabisa ingawa baadhi ya watu waliniona niko wrong lakini sasa...
https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s
Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza...
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa...
Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine.
"Urusi...
Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana!
Haya...
Ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda au kwingineko lakini zenye Makao yake nchini Rwanda, zimepigwa marufuku kuruka juu ya anga ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),
Mamlaka ya DR Congo...
Hamas imetangaza Alhamisi kuwa itawaachilia huru mateka watatu wa kutoka Israel kama ilivyopangwa.
Awali, Hamas ilikuwa imetishia kuchelewesha kuachiliwa kwa mateka, ikidai Israel haijatimiza...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut
===============
Iran’s IRGC Quds Force has...
Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office.
Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae...
U.S. Senate CONFIRMS Robert F. Kennedy as Secretary of Health and Human Services
Hal Turner World February 13, 2025
By a Vote of 52 to 48, the United States Senate has CONFIRMED the nomination...
Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea....
Nina uhakika...
Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao.
Chanzo: SPECTATOR INDEX
Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).
Trump akaendelea...
Baadhi ya wanawake ambao waume zao walikuwa wanajeshi wa FRDC(jeshi la DRC), wanahangaika sana baada ya waume zao kufia vitani, wengine wapo kambini ilipo MONUSCO, wengine wamekimbilia nchi jirani...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi
Kama vile...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after...