International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Monrovia, Liberia: Rais Boakai akaza misuli, Awasimamisha Kazi Maafisa 457—Wakiwemo Mawaziri, Mabalozi—Kwa Kushindwa Kutangaza Mali. Februari 13, 2025 MONROVIA - Rais Joseph Boakai Jumatano...
1 Reactions
3 Replies
631 Views
Baada ya kuwa M23 iliingia mjini Bukavu jana jioni, iliendelea na mambo yake, na leo asubuhi ndo jeshi lake likawasili mpakani,na kukuta pako wazi, baada ya jeshi la serikali na wafanyakasi wa...
1 Reactions
13 Replies
949 Views
Hii kauli ina tofauti gani ni ile ya "kuna mhimili moja uliojichimbia chini zaidi"?! Poor Murica.
1 Reactions
16 Replies
853 Views
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo...
7 Reactions
118 Replies
4K Views
Raila 21 na mgombea wa djibouti,Mohamed youssef kura 24,ila mambo bado,tusubiri
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa. Trump...
24 Reactions
175 Replies
7K Views
VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa. Maombi haya pia...
15 Reactions
94 Replies
2K Views
https://x.com/WilsonLixon/status/1890756407906939004
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Mahakama ya kijeshi, huko DRC, Kivu kusini, leo tarehe 14 Februari 2025, imewahukumu wanajeshi 212 kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia adui,kosa lililotafsiriwa kuwa ni usaliti wa kiapo...
3 Reactions
13 Replies
949 Views
Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto. Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Leo katika pitapita zangu mahali nikakuta documentary inayoelezea machafuko ya huko Congo, kuanzia chimbuko Kwa kifupi nilichokuja kugundua baada ya muda mrefu kuwaza kua sababu ni nini huko...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Wadau hamjamboni nyote? Operesheni kubwa ya kijeshi kuyasaka magaidi ya Hamas yaendelea huko ukingo magharibi mwa mto Jordan Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la...
8 Reactions
78 Replies
4K Views
Jenerali MASUNZU, siku za nyuma alipewa uongozi wa kanda ya 3 ya kijeshi, ambayo inaundwa na mikoa ifuatayo: Kivu Kaskazini, Kivu kusini, Ituri, Haut-Uélé na Tshopo, amesalimika baada ya kuundiwa...
4 Reactions
8 Replies
758 Views
Ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda au kwingineko lakini zenye Makao yake nchini Rwanda, zimepigwa marufuku kuruka juu ya anga ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mamlaka ya DR Congo...
3 Reactions
9 Replies
774 Views
M23 wachukuwa uwanja wa ndenge wa Kavumu kule Bukavu south kivu. Soon na mji wa Bukavu utachukuliwa. Tshisekedi kaenda Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Na wanajeshi wa Burundi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo. Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say By Reuters February 14, 202512:25 PM...
1 Reactions
0 Replies
354 Views
John Bolton mshauri wa masuala ya usalama na ulinzi wa marais wengi wa Marekani na mtu mwenye misimamo mikali ya kivita amelaani vikali Trump kuisalimisha Ukraine kwa Russia kabla hata mazungumzo...
14 Reactions
97 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…