International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri...
14 Reactions
121 Replies
5K Views
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya. Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23...
3 Reactions
8 Replies
630 Views
Wanaukumbi. CAIRO (AP) - Misri inasonga mbele na mpango wa kuijenga upya Gaza bila kuwalazimisha Wapalestina kutoka nje ya eneo hilo kujibu pendekezo la Rais Donald Trump la kuhama eneo hilo ili...
0 Reactions
9 Replies
741 Views
Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir. Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye...
3 Reactions
15 Replies
832 Views
"Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo."...
18 Reactions
113 Replies
5K Views
Kwa source za ki intelgensia unaambiwa m23 wapo kila sehemu kwa sasa hawategemei struggle kuteka mji kama ilivo mwanzo uko kivu. KWA NN BUKAVU IMEKAMATIKA KIRAISI? m23 wamejipanga na wana...
2 Reactions
6 Replies
770 Views
Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Ok wana jamvi twende kazi KATI YA MAREKANI NA CHINA Naona hapa nchi zote hizo zina moto yani 🔥🔥🔥 Haya wataalamu wa uchumi na kujitafuta na pia wale waliofika au wanaishi katika izo nchi tajwa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
17 February 2025 Bujumbura, Burundi https://m.youtube.com/watch?v=WQg06wGKXV0 Jeshi la polisi laimarisha usalama, na kuendesha operesheni kukamata wageni wasio na vitambulisho Wakati wengine...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Afisa wa Hamas, Taher al-Nunu Hamas amethibitisha kuwa itawaachilia wanawake wanne wa kutoka Israel waliokuwa mateka kwa kubadilishana na wafungwa wa Kipalestina. Hili litakuwa tukio la pili la...
1 Reactions
7 Replies
733 Views
Wiki hii Rais wa marekani ametoa taarifa kuwa ikiwa Hamas haitawaachia mateka wa Israel jumamosi mchana watavunja makubaliano na kuanzia mashambulizi. Hamas imetoa taarifa rasmi kuwa haitafuata...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
Ni interview aliyofanyiwa Douglas Murray na Mwandishi wa Habari wa Al Jazeera
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
0 Reactions
12 Replies
707 Views
Baada ya ombi la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis kwa serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kulegeza sera yake dhidi ya wahamiaji haramu kwamba utekelezwaji wake...
6 Reactions
11 Replies
948 Views
Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya. Lakini toka rais Trump asaini...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Lambert MENDE, aliwahi kusema haya: https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920 Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya...
1 Reactions
7 Replies
849 Views
Watu 15 akiwemo Mtoto, wamejeruhiwa huku baadhi yao wakiwaishwa Hospitali kutokana na majeraha waliyoyapata baada ya Ndege ya Delta ya Nchini Marekani kupata ajali leo kwa kubinuka juu chini...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas. Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Muda mfupi baada ya kuwepo kwa taarfa kuwa Bashar Al Assad amekimbia nchi na kwenda kusikojulikana, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tamko Trump amesema kuwa moja ya sabu ya...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…