International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Na Mwamba ndo kwanza anazidi kutoa Onyo!! Inawezekana kwa Trump, Dunia yote ikapigishwa Magoti.
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Kutokana na kasi ya kundi la M23 kujiokotea maeneo huko Kivu kasikazini, Mgodi wa ALPHA MINE ambao ni mali ya serikali ya Canada, umefunga milango kwa kinachoitwa kwa muda. Mpaka sasa...
2 Reactions
2 Replies
431 Views
Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa...
3 Reactions
10 Replies
901 Views
Mahakama Malawi yaamuru Nabii Shepherd Bushiri na mkewe kurejeshwa Afrika Kusini Mahakama Kuu nchini Malawi imetoa uamuzi leo wa kurejeshwa kwa Nabii na Mchungaji maarufu raia wa Malawi, Shepherd...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30. Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri. Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa...
14 Reactions
199 Replies
9K Views
Kikao cha marais wa nchi za SADC, kimeamua kuondoa majeshi yote ya nchi hizo, kurahisisha upatikanaji wa suruhu la kudumu la amani nchini humo. Wakati huo, kisiwa cha Idjwi tayari kipo mikononi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Ukiulizwa sababu za China kuendelea na kujitegemea unaweza taja utitiri wa sababu lakini sababu kuu ya China kuendelea ni kuichukia historia nzima wao wanaiita "Century of Humiliation"...
6 Reactions
16 Replies
720 Views
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Mimi sio mtaalam wa mambo ya mataifa. Lakini ilivuma sana kuwa Russia imewekewa vikwazo ilivyoivamia Ukraine. Kwanza ulaya ilisapoti sananvikwazo na marekani wakapilia msumari. Hadi kufikia...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Marekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia. Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima. Hakuna mfumo wa kuizuia. Ni...
40 Reactions
167 Replies
11K Views
Pamoja na kwamba mshirika wake,Mmarekani hayuko vizuri kuendelea kumsaidia lakini bado Israel haijachoka kuchokoza majirani zake na bado inajiamini kuwa ina mpango bora wa kupata ushindi dhidi ya...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi. Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia...
0 Reactions
3 Replies
452 Views
11 March 2025 Dira Yetu : SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA : Je ni kweli Rwanda Haina M8godi ya Uchimbaji ? https://m.youtube.com/watch?v=T2NW4_-B6-4 Muongoza kipindi ndugu Masantura amewakaribisha...
1 Reactions
0 Replies
411 Views
12 March 2025 A message to President Tshisekedi | Aid | Rwanda's Dignity | President Kagame talks to Mario Nawfal Walitaka nchi ya Rwanda iwe tupu watu wakimbie, tunakumbuka mamilioni ya...
1 Reactions
1 Replies
707 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukraine imekubali kupitisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano mara moja kwa siku 30 katika uvamizi unaoendelea wa Russia dhidi ya nchi hiyo ya Ulaya Mashariki, ikisubiri Moscow ikubali...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Taasisi ya Sera ya Mikakati ya Australia (ASPI) sasa inakabiliwa na wasiwasi mkubwa kuhusu bajeti yake, kwani Marekani imesimamisha msaada wa kifedha tangu Donald Trump alipoingia madarakani...
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Hali ya jangwa imekuwa mojawapo ya changamoto kubwa zaidi za kimazingira zinazowakabili wanadamu, kwani inasababisha dhoruba nyingi za mchanga na vumbi, kuhatarisha usalama wa chakula, kufanya...
1 Reactions
2 Replies
321 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…