Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran.
Leo amesema Iran Ina Haki...
Wakati muda wa mwisho uliowekwa na makundi yanayopinga wageni nchini Afrika Kusini unakaribia, maelfu ya raia wa kigeni wanakusanya virago na kuondoka.
Makundi hayo yametoa muda wa hadi Juni 30...
Mapigano yaliendelea kusini mwa Lebanon huku Hezbollah ikirusha makombora mengi na angalau shambulio moja la makombora ya kupambana na vifaru dhidi ya vikosi vya Israeli vinavyosonga mbele karibu...
Hebu nikueleze kuhusu simulizi ya kusikitisha lakini yenye nguvu kubwa inayotokea sasa nchini Zambia β simulizi ambayo kila dikteta wa Afrika anapaswa kuitafakari kwa makini.
Mwaka 2017, Edgar...
Masharti ni haya yafuatayo
1 Aondoe sunction zote za Iran na aondoe maheshi yake karibu na Iran
2 Wasimamishe vita mpaa Lebanon (mimi naona hapo Israel akijidai mbabe wamwachilie Iran amtie...
Ndege ya kimkakati ya Jeshi la Anga la Marekani aina ya B-52 Stratofortress ilianguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Kituo cha Jeshi la Anga la Edwards huko California, Marekani.
Ndege hiyo...
Marekani na Israel wamevamia Iran wakitegemea kumaliza oparesheni ndani ya siku 4 tu, lakini sasa siku 18 zimefika huku vita ikionesha dalili za kukolea kuliko kuisha. Iran wamepigwa, lakini...
Baada ya Ukraine kuruhusiwa kumpiga Mrusi ndani ya mipaka yake, Ukraine amejijengea uwezo mkubwa sana wa kutumia drone katika kuipiga Urusi anavyotaka kwa masafa marefu.
Upigaji wa Ukraine kwa...
Ukraine inaendelea kuihathiri Urusi kiuchumi.
Leo drones za Ukraine zimeruka hadi Moscow na kubomu kiwanda cha kusafishia mafuta ghafi Moscow Kapotnya na pia kubomu kiwanda kingine oil depot...
Katika hali ya kushangaza Rais Donald Trump amesema kuwa Israel imeshindwa kazi ya kupambana na Hezbollah maana imechukua muda mrefu sana na watu wanazidi kufa.
Amesema hakuna haja ya kulipua...
Waisraeli kutoka nyanja zote za kisiasa wameonyesha hasira siku ya Jumatatu kutokana na habari za makubaliano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Iran, wakiita hatua hiyo kuwa janga kwa Israeli...
Mkataba wa Iran na Marekani: Tathmini Fupi
Mkataba huu unaonekana sana kama usiofaa kwa Israeli. Wasiwasi mkubwa ni unafuu wa kiuchumi ambao Iran itapokea, makubaliano ya nyuklia ambayo...
Ndege ya kivita ya Urusi aina ya Tu-22M3 ya masafa marefu ilianguka wakati wa safari ya mafunzo katika eneo la Irkutsk nchini Urusi leo.
Ndege hiyo haikuwa na a bomu na ilianguka katika eneo...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alifanya mkutano na waandishi wa habari. Maelezo Muhimu:
Dhamira ya maisha yangu ni mapambano dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran. Kwa makubaliano au bila...
Maafisa wa ujasusi wa Marekani wanaelezea kutoridhishwa kwao kuhusu makubaliano ya nyuklia yanayoibuka na Iran, huku Mkurugenzi wa CIA John Ratcliffe akimwonya Rais Donald Trump kwamba Tehran...
Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire.
π Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran?
Kwa vigezo gani:
Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)?
Survival (nani bado yupo hai kiushawishi...
Niaje waungwana
Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court.
Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji...
Niaje waungwana
Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon.
Ila sasa taarifa hizi za...
Dr. Zack βοΈ
π 1. Vita vilianza kuongeza gharama kubwa za kijeshi kwa Marekani.
π 2. Bei za mafuta duniani zilianza kuathiri uchumi wa Marekani.
π 3. Mlango-Bahari wa Hormuz...
Marekani na Iran Wafikia Makubaliano ya Kumaliza Vita, Hormuz Kufunguliwa Tena
Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya awali ya kumaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miezi mitatu, hatua...