International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Israel imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeidah nchini Yemen kujibu mashambulizi ya uwanja wa ndege wa Houthi Maafisa wa Israel wamethibitisha kuwa jeshi la anga la Israel...
2 Reactions
13 Replies
963 Views
Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya...
1 Reactions
12 Replies
880 Views
Kufuatia ripoti kutoka Iran: Milipuko na moto huo ulitokea katika kituo cha (kisicho cha nyuklia) "Montazere Ghaem - ambacho ndicho muuzaji mkuu wa umeme magharibi mwa Tehran. Kando ya mtambo...
2 Reactions
9 Replies
780 Views
Mei 2025, vikosi maalum vya Urusi kutoka kwa jeshi la serikali la Afrika vilitumwa Burkina Faso kumlinda Rais Ibrahim Traoré, kufuatia majaribio ya hivi karibuni ya mapinduzi na ukosoaji mkubwa wa...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani...
2 Reactions
9 Replies
654 Views
Hii Kinshasa wakiona sijui itakuwaje👇🤣
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia. Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8. Lakini mchango wao kwenye hii...
12 Reactions
62 Replies
2K Views
According to official figures, the government currently owes over N4 trillion to the Gencos in unpaid subsidy-related debts. A recent report by the Nigerian Electricity Regulatory Commission...
0 Reactions
2 Replies
310 Views
Kwa ujumla wake tukio la kuuliwa watalii wa ndani huko Pahalgam jimbo la Kashmir ni kitendo kilichopangwa kitokee muda mrefu tangu Narenfa Modi na chama chake cha BJP alipoingia madarakani.Lengo...
6 Reactions
116 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, Pavel Durov, ameripotiwa kukubali kutoa anwani za IP na namba za simu za watumiaji app yake kwa serikali mbalimbali duniani ambazo zitaomba data za watumiaji wake...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Baada ya Trump kupandisha ushuru kwa bidhaa za mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China sasa Wamarekani wameanza kujionea kupanda kwa gharama za bidhaa. Amazon moja ya wauzaji wakubwa wa bidhaa...
13 Reactions
46 Replies
3K Views
Israel Yatayarisha shambulizi operation 'Magari ya Gideoni': Onyo la Mwisho kwa Hamas Kabla ya Ziara ya Kikanda ya Trump Afisa mkuu wa ulinzi wa Israel anasema jeshi litafanya mashambulizi yake...
1 Reactions
1 Replies
328 Views
Jana tarehe 4 Mei, 2025, imekuwa komfamed M23 sasa imelipokonya jeshi la serikali ya Congo, eneo la Lubero, huko Kivu kasikazini. Jeshi la Congo (FARDC) limekemea vikali hatua ya waasi wa M23/RDF...
1 Reactions
4 Replies
741 Views
Jeshi la Israel limetoa ONYO kali kwa Magaidi wa Hamas i kiwa watajaribu kuwadhuru mateka wa Israel kufuatia tishio lao la kuwaua mateka wa Israel endapo Israel itaendeleza mashambulio yao kwa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja aliyekuwa kwenye foleni ya kuaga mwili wa Papa kazua taharuki baada ya shughuli hio kusimamishwa kwa muda. foleni yote iligeuzwa lakini hali ilikuwa ni tofauti kwa mwanaume huyo...
19 Reactions
156 Replies
8K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha akiwa amevaa kama kiongozi wa kanisa Katoliki duniani (Papa). Hii inakuja siku chache baada ya kuulizwa na Waandishi...
11 Reactions
99 Replies
7K Views
Kwanini Rais Trump amesema lazima wairudishe dini katika nchi yao? Jibu la swali hilo utalipata katika hotuba yake aliyoitoa wakati wa maombi ya kitaifa(National Prayer Breakfast) yanayofanyika...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga...
11 Reactions
113 Replies
4K Views
Hali ni tete, Kombora la Hypersonic la Yemen limeupiga mji mkuu wa Israel uwanja wa Ben Gurion na kuleta madhara makubwa mno Israel yafunga uwanja na safari za ndege zimesitishwa Pamoja na Air...
14 Reactions
46 Replies
3K Views
Kiuwezo US/Israel wako juu mara mia KWA Iran. Wanawashirika karibu Kila nchi ya kiarabu. Inasemekana hata kiongozi wa ISIS Albagdad alikiwa ni Mossad. Osama alikuwa CIA. Najiuliza nchi kama...
3 Reactions
19 Replies
838 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…