International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi mpya wa wanamgambo huko Gaza, Abu Shabab, anapinga kundi la kigaidi la Hamas katika eneo hilo na anajitahidi kutoa makazi na chakula kwa Wagaza wanaoteseka kutokana na vita...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Kwanza nianze kwa kusema sijawahi kufika Ulaya, kila kitu nakiona kwenye TV na mitandao ya kijamii. Katika kufuatilia kwangu kuna utofauti nimeuona kati ya Urusi na nchi nyingine za Ulaya. Wakati...
0 Reactions
3 Replies
463 Views
Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Vyanzo vya habari kutokea Syria na Lebanon: Utawala wa Syria ulitibua jaribio la jana katika eneo la Homs la kusafirisha shehena ya roketi zilizotengenezwa na Iran hadi katika ardhi ya Lebanon...
1 Reactions
11 Replies
679 Views
Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, Hossein Salami: Anasema Ana’s humurukwa maelfu ya hati walizozipata kuhusu vituo vya nyuklia vya Israeli, mashambulizi yetu sasa yatakuwa sahihi zaidi...
2 Reactions
4 Replies
572 Views
Msemaji wa IDF kwa Kiarabu anatoa amri ya kuhama au kuondoka kabisa karibu na bandari tatu zinazomilikiwa na magaidi hao wa Houthi. Amri hii imetolewa baada ya mashambulizi yasiyofanikiwa ya...
1 Reactions
11 Replies
746 Views
Mnamo mwaka 2016, nchini Iraq, kijana Ayham Hussein alikamatwa na wanajihadi alipokuwa akisikiliza muziki wa Kimagharibi katika duka la baba yake. Alifikishwa katika mahakama ya Sharia ambayo...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas. Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
⚠️BREAKING: IDF ilipata mwili wa kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar kwenye handaki chini ya Hospitali ya Ulaya huko Gaza. Hamas ilijenga chumba cha kulala chini ya ardhi chini ya hospitali ya...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Televisheni ya taifa ya Iran ilitangaza kuwa chombo cha kijasusi cha Iran kimetoa pigo la kihistoria kwa Israel. MOIS ilipata maelfu ya hati zinazohusiana na miradi na vifaa vya nyuklia vya...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake. Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Raisi kagame japo kukana sana kutokuhusika na kundi la M23.Sasa ushahidi ni huu hapa https://www.youtube.com/watch?v=-do8Y7Gw7NM
0 Reactions
14 Replies
890 Views
BREAKING: IDF imemwangamiza Kiongozi wa kundi la kigaidi la Mujahidina Brigedi huko Gaza, ambaye alihusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas. Yeye na familia yake wote...
2 Reactions
10 Replies
537 Views
Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza. Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Taarifa zinadai tetemeko la jana la Iran lilitokana na majaribio ya silaha mpya za nyuklia za Iran BREAKING [emoji1130] Speculation that Iran’s earthquake was the result of a nuclear test...
1 Reactions
6 Replies
993 Views
Huyu bwana oleg Gordievsky alikuwa ni jasusi wa KGB aliyeifanyia kazi MI6 ya uingereza , amefariki tokea mwezi march halafu mimi hata sikukumbuka kufuatilia habari zake. (of course...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
kuna habari zimeenea sana hapa Tel Aviv kuwa Iz al-Din al-Haddad aliye chukua mikoba ya Mohamed Sinwar naye ameangamizwa alipokuwa kwenye maficho yake, Habari hizi zimeenea sana tv na radio...
5 Reactions
13 Replies
973 Views
Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kuzungumza na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo Juni9, 2025, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Ikulu ya Marekani. Wito huo unakuja wakati Trump akifanya...
0 Reactions
5 Replies
508 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement ============ Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
In commemoration of World Environment Day on 5th June 2025, residents of Nkonko Ward in Manyoni District, Singida Region, joined hands with the non-governmental organization Amani Girls...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…