International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

http://www.tccb.gov.tr/en/news/542/58866/turk-milleti-15-temmuzda-sadece-bayragina-degil-hedeflerine-de-sahip-cikti.html
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Turkish investors keen to support African economy
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Siku zote nilikuwa nikijiuliza maswali mengi kichwani bila kupata majibu yake kuhusu ni kwa vipi nchi kama Burundi yenye migogoro mingi ya kiusalama inawezeje kutoa wanajeshi wake wengi kwenda...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Maafisa wawili wa ngazi za juu nchini Italia wamekanusha vikali ripoti ya shirika la kulinda haki za binaadam, Amnesty International kwamba polisi nchini humo wamewanyanyasa wahamiaji wanaotafuta...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
  • Closed
Uingereza haiwezi kuondoka EU, na habari ndiyo hiyo sasa Bunge la Uingereza ndiyo litaamua na siyo kura ya Mwananchi tena, na kama tujuavyo Wabunge ni corrupt hivyo na siajabu sehemu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umesema kuwa takribani wahamiaji 4,220 wameshapoteza maisha mwaka huu kufuatia ajali zinazotokea majini pale wahamiaji wanapokuwa kwenye majaribio ya kwenda barani ulaya. Taarifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Image copyright AFP Image caption Jemedari Johnson Mogoa Kimani Ondieki amefutwa kazi na UN Kenya imetangaza kuwa inawaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi maalumu cha Umoja wa Mataifa cha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
وفاة محمد سعيد الصحاف وزير الاعلام السابق العراقي في عهد صدام حسين في الامارات اليوم AMEFARIKI LEO ALIEKUA WAZIRI WA HABARI KIPINDI CHA UTAعن عمر WALA WA SADDAM HUSSAIN IRAQ. MUHAMMAD SAID...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Commisioner of Elections wa New York ajulikanye kama Alan Schulkin amerekodiwa akitilia shaka uchaguzi wa USA unavyofanyika, na kwamba kuna voters fraud au wizi wa kura unafanyika USA, kwa maneno...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Ni kweli wengi hatumdhanii na Wamarekani wa mlengo wa kawaida pia hawamtazamii, lakini inaonekana FBI kurudia kufukunyua uchunguzi wa the former and the expected first lady itakuwa imeathiri...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna haja yakumtuma Jecha kuokoa jahazi mpaka sasa hakuna mshindi wa uchaguzi labda kwa msaada wa goli la mkono.. ====== With Trump, Clinton Deadlocked, Race Is In 'Brexit' Zone: IBD/TIPP Poll...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
IRAN: Mahakama mjini wa Tehran yamhukumu viboko 135 aliyekuwa mkuu wa mashtaka ya umma Bwana Saeed Mortazavi kwa makosa ya ufisadi. ========= A former prosecutor general of Tehran described by...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Mwanaume mmoja amezua taharuki katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kamuzi katika mji mkuu wa Malawi Lilongwe baada ya kufika uwanjani hapo akiwa amevalia nguo ya ndani (Chupi pekee) akitaka...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
  • Closed
Raia wa Iran wameshitushwa na madai yaliyotolewa yakimshutumu Msoma Qu'ran Maarufu nchini humo ambaye anakabiliwa na mashitaka ya kudhalilisha kingono watoto wadogo wa kiume. Inadaiwa Bw. Saeed...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MAREKANI: Polisi katika jimbo la Mississippi wanachunguza uhalifu wa chuki baada ya Kanisa linalotumiwa na watu weusi kuteketezwa na kisha kuchorwa maneno ya kusema: "Mpigie kura Trump". Kanisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangazo la mkurugenzi wa FBI James Comey la kuchunguza upya barua pepe za Bi. Clinton huwenda likabadili upepo wa mchuano kati ya wagombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Marekani siku chache...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Leo ndiyo nimeamini kwamba kweli Dunia hii ni duara na kwamba hakuna jipya kila kilichopo kilikuwepo na kwamba yote tuyafanyayo ni marudio tu! Leo Raisi wa USA, Barack Obama anasema kwamba...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Takribani watu 17 wamefariki na wengine 50 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha treni zilizokuwa zimebeba mamia ya abiria. Mashuhuda wamedai kuwa treni moja iliigonga treni nyingine iliyokuwa...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Ningependa kujua kama AU au SADC nao watatuma International observers kwenye uchaguzi wa Marekani. Maana ni vyema kuhakikisha hawamchakachui mheshimiwa Trump.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenya imetangaza kuwa inawaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi maalumu cha Umoja wa Mataifa cha kudumisha amani kilichoko Sudan Kusini, baada ya kamanda wake kutimuliwa kazini. Wizara ya Mashauri...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…