"Hatulazimiki hata kwa sekunde moja kuthibitisha kwa yeyote yule (hasa watu weusi na waarabu) kuwa sisi ni wenye nguvu (superior) kuliko wao. Tuna njia zaidi ya 1001 za kuthibitisha hilo kwao...
RAIS wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amesema hana mchezo katika vita dhidi ya dawa za kulevya na hata ikibainika mwanaye ni mmoja wa wahusika, hakuna namna, ni kumuua tu.
Rais huyo ametoa maelezo...
Mwanamme mmoja nchini Canada amepatikana na hatia ya kumuua rafiki yake baada ya polisi kugundua kuwa kifaa kilichotumiwa kuua kilichokuwa kwenye picha ya kujipiga (selfie) ya wawili hao iliyokuwa...
Rais Donald Trump hajaonyesha dalili zozote za matatizo ya kiakili kufuatia uchunguzi wa kiafya na yuko na afya nzuri, daktari wa White House amesema.
"Sina wasiwasi wowote kuhusu afya ya akili...
Takribani watu 52 wamefariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuteketea kwa moto. Aidha katika ajali hiyo ya moto watu 5 wamefanikiwa kujiokoa kutoka katika janga hilo la kutisha. Ajali hiyo...
Waziri Mkuu wa Uingereza Bi. Theresa May ameushangaza ulimwengu kwa kuunda Wizara ya Upweke na kumchagua Bi. Tracey Crouch kuwa waziri wa wizara hiyo.
Soma zaidi:
UK minister for loneliness aims...
Polisi nchini Guinea wanasema kuwa wamemkamata daktari mmoja wa kienyeji kwa kuwalaghai mamia ya wanawake na kuwafanya kuamini kuwa wao ni wajawazito.
N'na Fanta Camara aliwapa wanawake ambao...
Kaduna, Nigeria: Raia wawili wa Marekani na wengine wawili wa Canada wametekwa nyara katika tukio ambalo Askari Polisi wawili waliuawa katika shambulio
Wageni hao walikuwa wakisafiri kwa kutumia...
Kwa HUDUMA MAOMBI NA MAOMBEZI Africa na kupata neno la MUNGU kwa mafaifa zaidi ya5
Tuma neno Africa kwenda number 0755203300 kisha utapata nafasi ya kutuma mahitaji mbalimbali.
Usikose. Karibu...
#AmplifayaUPDATES Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo alizokuwa ameziiba dukani, aliamua kuiba ili aweze kuzivaa kwa ajili ya usaili
Sipati picha ingekuwa Bongo...
Bannon will do interview with special counsel, avoiding grand jury for now
By Kara Scannell and Maegan Vazquez, CNN
Updated 6:26 PM ET, Wed January 17, 2018
Washington (CNN)Steve Bannon has...
Wadau wa JF
Serikali ya Marekani imeamua kusitisha misaada kwa Mamlaka ya Palestina.Uamuzi huo umefikiwa wiki mbili baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutishia kuacha kutoa msaada kwa...
Haya wanamuita ni Mbaguzi lkn chini ya Uongozi wa D.Trump, Wamarekani weusi wengi wamepata kazi kuliko kipindi chochote tangu kuanzishwa kwa USA, Obama hakuna alichowafanyia Black USA!
Black...
Sheria imepitishwa inchini Zimbabwe kuanzia sasa, mwenza wako, yaani mpenzi wako, mke wako, mume wako akikufikisha mahakamani kwa kuvizia simu yake bila ridhaa yake na ukaperuzi bila ridha yake...
A Pregnant man yesterday visited the hospital (St Gabriel hospital, Namitete)for scanning.
The story behind this is that the pregnant man is a primary school teacher and he impregnated a school...
Mwanamume mmoja ametoroka nchini Burundi baada ya kuwapa adhabu ya kikatili watoto wake wawili ambao inadaiwa aliwapata wakiiba mahindi kwenye shamba lake.
Mwanaume huyo aliwazika ardhini wanawe...
Rais Trump hajaonyesha dalili zozote za matatizo ya kiakili kufuatia uchunguzi wa kiafya na yuko la afya nzuri, daktari wa White House amesema.
"Sina wasi wasi wowote kuhusu afya ya akili ya...
Bangladesh na Myanmar zimekubaliana kutekeleza mpango wa kuwarejesha nyumbani mamia kwa maelfu ya wakimbizi wa jamii ya Waislamu wa Rohingya waliokimbia machafuko nchini Myanmar.
Wizara ya mambo...