Takribani watu 60 wauawa kwenye fujo za magereza Brazil

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,554
2,000

AMAZON, BRAZIL: Takribani wafungwa 60 wameuawa na wengine 130 wametoroka kufuatia kuzuka ghasia zilizodumu kwa saa 17 ktk gereza la Manaus.

- Gereza la Manaus ni moja ya gereza lenye wafungwa wengi nchini Brazil ambapo mwaka 2014 liliweka rekodi ya kuwa na wanafungwa 622,000.

=========

manaus.jpg

At least 60 people were killed in a prison riot in Brazil's Amazon region when fighting broke out between rival gangs, an official said Monday.

The riot happened Sunday at a prison in Manaus, the capital of Amazonas state, said the head of the state's prisons administration, Pedro Florencio.

"There are 60 dead so far," he told journalists.

Riots are common in Brazil's overcrowded and underfunded prisons.

Some 622,000 people were imprisoned in Brazil as of the end of 2014, according to a justice ministry report. Most of them are black males.

That makes it the world's fourth-largest prison population, the report said, after the United States, China and Russia.

Human rights groups have long complained about the conditions in Brazilian prisons.

On October 18, deadly riots broke out at three separate prisons blamed on fighting between members of the country's two largest gangs.

During that episode, rioting inmates took visitors hostage, beheaded rivals and burned others alive, authorities said.

(AFP)
 
Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,343
2,000
Halafu kuna mtu anasema HAKI ZA BINADAMU & DEMOKRASIA hazipo hapa kwetu
 
PatriceLumumba

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
410
1,000

AMAZON, BRAZIL: Takribani wafungwa 60 wameuawa na wengine 130 wametoroka kufuatia kuzuka ghasia zilizodumu kwa saa 17 ktk gereza la Manaus.

- Gereza la Manaus ni moja ya gereza lenye wafungwa wengi nchini Brazil ambapo mwaka 2014 liliweka rekodi ya kuwa na wanafungwa 622,000.

=========

At least 60 people were killed in a prison riot in Brazil's Amazon region when fighting broke out between rival gangs, an official said Monday.

The riot happened Sunday at a prison in Manaus, the capital of Amazonas state, said the head of the state's prisons administration, Pedro Florencio.

"There are 60 dead so far," he told journalists.

Riots are common in Brazil's overcrowded and underfunded prisons.

Some 622,000 people were imprisoned in Brazil as of the end of 2014, according to a justice ministry report. Most of them are black males.

That makes it the world's fourth-largest prison population, the report said, after the United States, China and Russia.

Human rights groups have long complained about the conditions in Brazilian prisons.

On October 18, deadly riots broke out at three separate prisons blamed on fighting between members of the country's two largest gangs.

During that episode, rioting inmates took visitors hostage, beheaded rivals and burned others alive, authorities said.

(AFP)
HABARI,
Kurzweil
Asante kwa Taarifa ila hiyo idani ya wafugwa 622,000 sio kwa gereza moja hiyo ni kwa Nchi nzima Dunia Hakuna Gereza lenye wafungwa wanaozidi 15,000 kama lipo basi sijasikia habari zake,Na hiyo wanafanya idadi isiwe kubwa kwaajili ya usalama kama vurugu zikitokea kama hizo na kuwe na wafugwa 622,000 na ukichukulia wengi ni wale wakorofi, hatari sana

LUMUMBA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom