Hakika kila kukicha wanadamu hawaishi kutushangaza, Huko Australia mwanadada Ari Kala amewashangaza watu kwa kipaji chake cha "kunusa kifo" Masaa machache kabla ya kifo kutokea, hata hivyo Ari...
Kwa mara nyingine tena Moshe Yaloon, waziri wa ulinzi wa Israel ametishia kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Iran.
Matamshi hayo ameyatoa huku mazungumzo ya nyuklia yakiwa mazuri kati ya Iran na...
Uzalishaji wa kombora la anga la masafa marefu la Sayyad-3 umezinduliwa leo katika hafla iliyohudhuriwa na maafisa wa ngazi za juu wa jeshi hapa nchini.
Uzalishaji wa kombora hilo lililotengenezwa...
Ukistaajabu ICBM za Kim basi huwezi shangaa pia kuona barua kubwa zaidi aliyoituma Kim kwa Trump kupitia Genarali Kim Yong-chol, mjumbe wa NK aliyefika jana White House, US.
Trump alisema barua...
Rais Tayyip Erdogan amesema biashara ya Uber imemalizika nchi humo, baada ya malalamiko mengi kutoka kwa madereva wa usafiri wa taksi waliokuwa wanataka biashara hiyo ifutwe
Takribani madereva wa...
To be honest, it’s always feel proud to see your nation among powerful militaries in the world. Military means, having power to defend, to protect, and to save one’s territorial right.
But,
Whom...
Askofu Mkuu wa Iran: Marekani haina uwezo wa kukabiliana na mshikamano wa taifa la Iran
Askofu Mkuu wa Wakristo wa Kiarmenia wa Tehran na kaskazini mwa Iran amesema kuwa, karibu miaka 40 sasa...
Marekani,
Moja ya Taifa la kipekee sana hapa duniani. Mbali na Ujinga wao mwingi lakini ni nchi yenye furaha sana na uhuru mwingi: Hili hata maadui wa Marekani wanalijua, Marekani ni nguvu zote...
Wanasema joka ukililea ndani, ipo siku litakumeza.
Wakati US inaanza chokochoko na Russia, umoja wa Ulaya waliona sawa tu kwasababu wote wana visa au uadui na Russia.
Ilipokuja kwa Mchina...
Wazazi wawili mjini New York wameshinda kesi waliyokuwa wakipambana kumuondoa kijana wao mwenye umri wa miaka 30 baada ya kukaidi kuondoka
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo katika mahakama ya...
Ujamaa ulikuwa ni falsafa ambayo kikawaida ilikuwa na mambo ya kushangaza.
Kuna kitu walikuwa wanaita SOLIDARITY KISS ambapo viongozi wa nchi za kijamaa walikuwa wanapigana mabusu mashavuni na...
Waziri Mkuu wa Uhispania, Mariano Rajoy yuko hatarini kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye kufutia sakata la rushwa
> Hoja ya kupigiwa kura kwa kiongozi huyo imepelekwa katika...
Vijana 11 raia wa Tanzania waishio Johannesburg, Afrika Kusini walioshtakiwa kosa la ubakaji wameachiliwa huru na hakimu mkazi wa Mahakama ya Johannesburg.
Walikuwa wameshtakiwa kwa makosa ya...
Giuseppe Conte aapishwa kuwa waziri mkuu Italia
Guiseppe Conte ameapishwa kuwa waziri mkuu wa serikali mpya ya Italia, baada ya kumalizika kwa mkwamo wa kisiasa uliodumu kwa miezi kadhaa na...
Washirika wa Marekani waungana kujibu vikwazo vya Trump
Nchi washirika wa Marekani zimekasirishwa na hatua za serikali ya Rais Donald Trump kuziwekea vikwazo vya kiushuru, vinavyolenga bidhaa za...
President Donald Trump said Friday he will meet North Korean leader Kim Jong Un on June 12 in Singapore, a summit he previously canceled in a letter.
Trump received a top-level visitor from North...
Bunge nchini Rwanda, Alhamisi lilipitisha sheria ya uhalifu wa mtandaoni yenye nia ya kuisaidia sekta za kiserikali na binafsi kudhibiti uhalifu huo.
Bunge la juu lilipitisha muswada na kupeleka...
(CNN)It's an image that has transfixed Paris and the world: A young boy dangling precariously off a fifth-floor apartment balcony as others rush to rescue him.
There's a lot going on in the...
"The messenger" Kim Jong Chol (first Left) with US Secretary of State Mike Pompeo.
Donald Trump has said he will meet with North Korea's Kim Jong Un at a denuclearisation summit on June 12...
Sera ya rais wa Marekani Donald Trump ya "Amerika Kwanza" kuhusu biashara ya kimataifa imeiathiri Rwanda, kwa kuanzisha ushuru wa nguo zinazotoka katika taifa hilo dogo la Afrika Mashariki ...