International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

January mwaka huu kulitokea malumbano kati ya jeshi la Urusi na America.. ni nani karusha drones kuelekea kambi ya Urusi Syria..sasa imedhihirika nani mhusika...je mhusika atachukuliwa hatua gani...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais wa Cameroon Paul Biya akiwa na mkewe baada ya kuwasili jijini Yaoundetwitter.com/PR_Pau Serikali ya Cameroon imetangaza zabuni ya kumjegea nyumba ya kifahari rais wa Mahakama ya Katiba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nyeusi ni nyeusi tu! Baada ya kuwaondoa kishujaa M23 nawashauri sasa macomredi wetu JWTZ wajiondoe Congo maana hakuna wafanyalo. Vita ya Congo ni vita ngumu tena yenye maslahi ya wakubwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Turkish intelligence wamedokeza kuhusu audio ikisikika sauti ya Saudi Consul ikiwaomba wauaji wamuue Jamal Khashoggi nje badala ya ndani DO THIS OUTSIDE YOU ARE GOING TO GET ME INTO TROUBLE...
11 Reactions
69 Replies
10K Views
A man in Alaska who was accused of kidnapping a woman from a gas station, choking her until she passed out, then masturbating over her has accepted a plea deal that will mean he does not spend any...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
aisee kuitetea serikali yoyote ile hasa serikali dhalimu ni lazima uwe mwehu emu muoneni uyu mtetezi wa serikali ya saudia anavyoongea pumba alipobanwa na waandishi wa habari alafu unaambiwa kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiasi ya wanajeshi 50,000 wanashiriki katika mazoezi ya kivita ya Jumuia ya Kujihami ya NATO yanayofanyika Norway. Mazoezi hayo ya NATO yanazinduliwa leo na ni makubwa kabisa kufanyika tangu...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Hii itawahusu wanafunzi wote watakaodahiliwa kwenye vyuo vya umma. Hivi karibuni Wanafunzi wa elimu ya juu nchini humo waligoma wakilalamikia kupanda kwa ada kwa masomo ya ngazi ya vyuo Liberia...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Black Voters in Georgia Say Something Funny Is Going on With Their Voting Machines Photo: Ethan Miller (Getty Images) After voters alerted the NAACP of irregularities with voting machines...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya Mfalme Salman bin Abdulaziz kutengeua nafasi ya mrithi wake Crown Prince Mohamed Bin Nayef na kumteua mtoto wake Waziri wa Ulinzi Mohamed bin Salman kuwa mrithi wake kumeleta mtafaruku...
16 Reactions
260 Replies
37K Views
Israeli F_16 fighters jets strikes Iranians targets near DAMASCUS .the IDF official declined to comment on this report.
2 Reactions
160 Replies
15K Views
Cameroon's President Paul Biya has won a seventh term in office in polls marred by low turnout and voter intimidation. Mr Biya, at 85 sub-Saharan Africa's oldest leader, took 71.3% of the vote...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Sky News, vipande vya mwili wa mwandishi Jamal Khashoggi, vimepatikana kwenye bustani ya nyumba ya balozi wa Saudi Arabia huko Istanbul. Sky sources: Jamal Khashoggi's body parts found
23 Reactions
159 Replies
22K Views
Wabunge wa Ethiopia wamemchagua Sahle-Work Zewde kuwa Rais wa Nchi hiyo. Sahle-Work ambaye ni Mwanadiplomasia mbobevu anakuwa Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo Anachaguliwa ikiwa ni siku...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Iran, Uturuki, Russia na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke sarafu ya dola ya Marekani. Kikao cha "Changamoto na Fursa za Biashara kwa Fedha za Taifa" kilifanyika jana Ijumaa mjini Ankara...
5 Reactions
50 Replies
7K Views
hofu kuu imemjaa, 1. FDLR wanaweza kutia timu wakati wowote tokea congo au maeneo mengine 2. Kayumba nyamwasa na kundi lake walioko ukimbizini wanaweza kumshambulia wakati wowote tokea eneo...
14 Reactions
155 Replies
18K Views
08 October 2018 | Geneva -- Dr Mwelecele Ntuli Malecela has been appointed as the new Director of the WHO Department of Control of Neglected Tropical Diseases. Until her appointment, Dr Malecela...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo stunning report Facebook imetumwa na Comred Mbwana Cameroo Allyamtu anasema; Jina lake halisi ni Hyporite[Hypolite] Kanambe na ni Mtusi wa Rwanda kwa baba na mama pia ni mpwa kabisa wa...
4 Reactions
73 Replies
17K Views
Licha ya kujipendekeza sana kwa Israel, Wazayuni watishia kuikatia maji Jordan Uri Ariel, waziri wa kilimo wa utawala wa Kizayuni wa Israel Waziri wa Kilimo wa utawala wa Kizayuni wa Israel usiku...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…