pWazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya
Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine...
China printing new Zimbabwe currency in exchange for oil and diamonds
by Itai Mushekwe
15 Dec 2018
China has intensified it's grip, control and access to Zimbabwe's mineral wealth by...
In Summary
Victoire Umuhoza Ingabire has since 2012 been jailed in Rwanda for allegedly propagating the ideology of genocide but lodged an appeal with the African Court
By Zephania Ubwani...
Reed Brody , Mwanasheria wa London, amejitolea kuwasaidia watu ambao wapendwa wao waliuawa/kupotea kikatili wakati wa utawala wa Dikiteita Yahya Jammeh wa Gambia. Amepiga kambi Banjul akikusanya...
Kwa kifupi nakuletea historia fupi ya chama cha siasa nchini Pakistan chenye mrengo wa kikristo, Pakistan Christian congress (P.C.C)
Pakistan kama ilivyo Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa...
In Summary
Victoire Umuhoza Ingabire has since 2012 been jailed in Rwanda for allegedly propagating the ideology of genocide but lodged an appeal with the African Court
ADVERTISEMENT
By Zephania...
Wanajeshi hao 66 walikuwa miongoni mwa wanajeshi 200 waliokuwa wamevaa sare ambao walifika wakiwa wamejihami kwenye majengo ya ikulu ya Abiy tarehe 10 Oktoba katika kile serikali ilisema lilikuwa...
Kitambulisho cha Vladimir Putin akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani
Saa 6 zilizopita
Sambaza habari hii Facebook
Sambaza habari hii Messenger
Sambaza habari hii Twitter
Sambaza habari hii...
Mamlaka za nchini Misri zinawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuwapeleka raia wawili wa Denmark katika kilele cha mapiramidi hayo na kupiga picha za utupu
Kati ya wanaoshikiliwa ni mpanda...
Bunge la Ujerumani limepitisha sheria ya kupiga faini mitandao ya kijamii kutokana na makosa yanayohusu fake news,hate speech n.k
Wadau wa JF mna mchango gani katika hili?
Germany approves plans...
Katika kile kinachoonekana mazoezi ya pamoja kati ya Venezuela na Russia,Putin amezituma Tu-160 strategic bombers kwa ajili ya kazi hiyo.Madege hayo yaliyokuwa yakifuatiliwa na ndege vita za...
NImesoma EU parliament resolutions na barua ya baadhi ya wabunge wa Marekani. Kwa pamoja wote wamaituhumu Tanzania kwa kukiuka haki za binadamu na makosa kama hayo.
Watu wameandika mengi sana...
WANAUME wawili nchini Afrika Kusini wamefungwa maisha baada ya kutiwa hatiani kwamba walimuua na kumla mtu mmoja.
Watu hao waliotiwa hatiani na kuhukumiwa na Jaji Peter Olsen wiki hii Jumatano...
Jamhuri ya China imechukua bahari ya Somalia kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo uvuvi, aidha Rais wa Somalia ametia saini ya makubaliano ya kuyapa haki makampuni 150 ya nchini china...
Baada ya Donald trump na jin xhiping kukutana na kusitisha vita ya kibiashara kwa siku 90 China yanunua soya kwa mabilioni kitoka U.S ...lkn kilichotokea imenufaika serikari si wakulima pesa zote...
EU wangehangaika na Uingereza inayojitoa kwenye ka umoja kao uchwara.
Tanzania ya sasa siyo ya kupangia namna ya kuishi na wala haihitaji huruma ya EU.
Tumewakumbatia kwa muda mrefu lakini nchi...