International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Muungano wa majimbo 16 nchini Marekani yakiongozwa na California yameushtaki utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uamuzi wa kutangaza hali ya dharura ili kukusanya fedha za ujenzi wa ukuta wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baadhi ya hizi nchi za kiislam wanawake hawana haki kabisa wanakuwa kama mali ya mtu. Huko Saudi Arabia kuna app imetengenezwa kuwawezesha wanaume kuwafuatilia wanawake kila wanakoenda na kila...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
The Vatican is preparing for a summit later this week on the issue of sexual abuse within the Catholic Church. Bishops from around the world will gather on Thursday for a four-day conference...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Citizen TV anchor Lilian Muli says she is not proud of what she posted on social media, terming her baby daddy Jared Ombongi a community husband. "My recent outburst was my lowest moment, and I...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Muuzaji matunda, raia wa Sudan, amefariki mjini Khartoum, baada ya kuvuta gesi ya kutoa machozi iliyotumika na maafisa wa usalama kuwatawanya waandamanaji. Maafisa wa afya, na familia ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume. Soma...
16 Reactions
252 Replies
25K Views
Miongoni mwa wabunge waliojiuzulu ambao wanadai kuwa wanaunda "kundi lisiloegemea" ni pamoja na Chuka Umunna, ambaye ameonekana kuwa mpinzani na uongozi wa chama cha Labour na Luciana Berger...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Huku İran ikitishia kuifuta Tel Aviv na Haifa katika ramani, Netanyahu awaonya wasijaribu kufanya makosa hayo Vita kali ya Maneno baina ya İran na İzrael Waziri mkuu wa İzrael Benjamin Netanyahu...
3 Reactions
130 Replies
16K Views
SRINAGAR, India (Reuters) - A suicide bomber rammed a car into a bus carrying Indian paramilitary police in Kashmir on Thursday, killing 44 of them in the deadliest attack in decades on security...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ametangaza uchaguzi Mkuu wa mapema utakaofanyika Aprili 28, 2019 badala ya Juni mwaka 2020 Taarifa hiyo imetangazwa baada ya Serikali ya kisoshalisti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je Barack Obama na Adolf Hitler wanautofauti upi? - - - - Baada ya tafiti na ugunduzi kuhusu Flat 'Bense' Earth na Turn-Changes Universe sasa kunajambo/mambo nimegundua juu ya wahusika tajwa hapo...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu zangu msaada tafadhali,hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi zilizopo ndani ya bara la afrika? Msaada wenu tafadhalini. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MWANAMKE mfanyakazi katika gereza kutoka Missouri, Marekani anatuhumiwa kuwa alimuua mumewe kwa kumtilia sumu kwenye chakula, ili waoane na mpenzi wake mfungwa. Amy Murray, wa miaka 40...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Maelfu ya waandamanaji wa vuguvugu lijulikanalo vizibao vya njano waliandamana kote nchini Ufaransa jana, ikiwa ni miezi mitatu tangu vuguvugu hilo kuanza. Kulingana na wizara ya mambo ya ndani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Farouk Umar Abdulmutalab aifungulia jalada la mashtaka Serikali ya Marekani kwa kumtesa gerezani. Anadai ananyimwa haki zake za Msingida kwa kuwekwa ndani ya chumba gerezani mda mref na...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
El Salvador ipo America ya kati (central Amerika.) Nayib Bukele kuchaguliwa kwake kumewashangaza wengi kwani hapo awali alifukuzwa kwenye chama kikubwa cha siasa huko kwao na akajiunga na...
1 Reactions
157 Replies
13K Views
Brigedia Jenerali Salami: Endapo Israel itaanzisha vita vipya itafutwa katika uso wa dunia Jan 29, 2019 03:17 UTC Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH)...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Waokoaji nchini Zimbabwe wameiopoa miili 24 ya watu waliokufa kwenye migodi miwili ya dhahabu iliyokumbwa na mafuriko mnamo siku ya Jumamosi. Watu wengine wanane wameokolewa. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wezi watumia mabomba ya kinyesi kuiba hela benki MASHIRIKA Na PETER MBURU WEZI nchini Ubelgiji walishangaza taifa na ulimwengu baada ya kutumia mitaro na mabomba ya maji taka na kinyesi kusafiri...
4 Reactions
33 Replies
9K Views
Yaani tangu Yesu alipozaliwa hadi leo (miaka 2,000) zingetosha kuendesha Tanzania kwa kipindi chote hicho. Kinachofanyika sasa ni kujaribu kugrab rasilimali popote na kwa namna yoyote ile ili...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…