International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Khartoum. Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha Sudan kufuatia hatua ya jeshi la nchi hiyo kuwashambulia waandamanaji wanaopigania utawala wa kiraia na kuua makumi ya watu. Idara ya usalama na Amani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Unazikumbuka kauli hizi: Tutapambana mpaka kieleweke. Utawala huu umefitinika. Yumuondoe huyu ccm ni mkoloni mweusi. M4C.movement for change (mlitaka kuchange mini?) Wanabodi Mpaka sasa...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
KHARTOUM (Reuters) - Sudan's military rulers offered to resume talks with opposition groups on Wednesday, two days after security forces mounted a deadly raid on a protest camp, but the opposition...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Donald Trump ataungana leo na viongozi wa nchi 16 katika kuadhimisha miaka 75 tangu kuanza kwa operesheni ya kijeshi iliyoikomboa Ulaya kutoka mikononi mwa Wanazi wa Ujerumani, maarufu kama...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nokia says it has moved ahead of Huawei in 5G orders HELSINKI (Reuters) - Nokia has attracted increased interest in its next-generation telecoms equipment in recent weeks, helping it to move...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Baada ya tetesi za kufutwa kazi kufuatia kufeli mazungumzo, dada wa Kim Jong-un aonekana Pyongyang Jun 05, 2019 04:03 UTC Baada ya kuenea habari za kupigwa kalamu nyekundu na Kim Jong-un, Kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kundi la waasi linaloaminiwa kuwa la ADF Nalu, wamewauwa raia 12 katika mji wa Beni, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Meya ya mji huo Modeste Bakwanamaha amethibitisha kutokea kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Picha moja ya Simba wawili wa kiume walionekana katika mbuga moja ya wanyama nchini Kenya wakifanya tendo la ngono imezua hisia kali nchini humo. Tayari Afisa wa Bodi simamizi ya udhibiti wa...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Kwasisi wanamabadiliko yanayoendelea Sudan yanatukatisha tamaa sana. Baada ya dikteta Bashiri kufurushwa tukaamini umma wa Sudan umeshinda. Lakini ghafla jeshi ambalo lilikuwa beneti na wananchi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Saudi Arabia na Iran - majirani wawili wenye uwezo mkubwa wamekuwa wakizozana kila mmoja akitaka kuonekana mwenye uwezo katika eneo la mashariki ya kati. Uhasama huo wa muongo mmoja sasa kati ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
China imetangaza leo kuongeza ushuru wa bidhaa za mabilioni ya dola kutoka Marekani wakati ikijitayarisha kuchapisha orodha mbaya ya kampuni za kigeni hatua ambayo wachambuzi wanasema inalenga...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
10 Downing Street's Larry the Cat Disrupts President Trump's U.K. Visit by Sitting Under His Limo https://www.yahoo.com/news/10-downing-streets-larry-cat-204956730.html Hapa kwetu bundi alienda...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nechama amefariki akiwa na umri wa miaka 74. Kifo chake kumesababishwa na pulmonary fibrosis.
4 Reactions
17 Replies
2K Views
China yaionya Marekani isijaribu kupuuza uwezo wake wa kijeshi Jun 02, 2019 02:35 UTC Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China ameionya serikali ya Marekani kwamba haitakiwi kupuuza azma na uwezo wa...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Idadi ya watu wanaougua magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya ngono inaongezeka nchini Uingereza. Mnamo mwaka 2018,kulikuwa na watu 447,694 waliobainika kwa mara ya kwanza na maradhi hayo, kiwango...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
China yajibu vitisho vya Marekani vya kuitaka Hong Kong izizuie meli za mafuta za Iran Jun 02, 2019 06:58 UTC Serikali ya China imetupilia mbali vitisho vya Marekani vya kuitaka kuziwekea vikwazo...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
4 June 2019 An armed officer who stood outside a Florida school as a gunman killed 17 people has been arrested and faces multiple charges, including child neglect and perjury. Scot Peterson, a...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Iran na Uturuki kuanzisha mfumo wao wa kifedha ili kuimarisha biashara Jun 02, 2019 08:03 UTC [emoji389] Serikali za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimekusudia kuanzisha mfumo wao mpya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiongozi wa Baraza la kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan. Kiongozi wa Baraza la Kijeshi nchini Sudan Jenerali Abdel Fatta al Burhan, amesema Baraza lake limeamua kufuta makubaliano yote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…