International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Korea Kaskazini imeitaka Korea Kusini kusitisha juhudi zake za upatanishi katika mazungumzo yake na Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na kiongozi wa Korea Kusini Moon Jae In mjini...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Russia imesema iko tayari kuipa Iran mfumo wa kujilinda wa S-400.Imesema kuwa Iran bado haijaomba kupewa mfumo huo. Yetu macho na masikio.
5 Reactions
96 Replies
8K Views
Media za magharibi zinauleble utalwala wa iran kama wa kishenzi na hawa"behave" kama taifa la kawaida. Imefika hatua Marekani imeweka jeshi la iran (IRGC) kuwa kundi la Kigaidi pamoja na vikwazo...
2 Reactions
69 Replies
8K Views
Wanaume kumi na sita wamekamatwa baada ya umati wa watu kumpiga vibaya kwa fito afisa mwanamke wa misitu wakati maafisa wa polisi wakitazama katika jimbo la kusini nchini India Telangana. Umati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Takriban watu 13 wamefariki na wengine 4 kujeruhiwa kwa kiasi kikubwa baada ya ukuta wa mpaka kuporomoka mjini Mumbai nchini India asubuhi hivi leo baada ya mvua kubwa kugonga mji huo kwa siku...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Takribani watu 228 wameripotiwa kufariki nchini Australia kutokana na homa ya mafua huku wengine 100,000 wakiuguza virusi hivyo, idadi kubwa ikilinganishwa na mwaka wa 2018 ambapo vifo 58,824...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
A Brazilian air force officer travelling with President Jair Bolsonaro's G20 team has been arrested after being caught with 39 kilograms of cocaine. The officer was detained in Seville, Spain...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Takriban watu 13 wamefariki na wengine 4 kujeruhiwa kwa kiasi kikubwa baada ya baada ya ukuta wa mpaka kuporomoka mjini Mumbai nchini India asubuhi hivi leo baada ya mvua kubwa kugonga mji huo kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Duniiani amani itakuwa kitu adimu sana Kama Marekani haitabadili mfumo wake wa uuzaji silaha katika Mataifa ambayo wana waita washirika wake. Kite do cha Marekani kuiuzia silaha Saudi Arabia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpinzani mkubwa wa Serikali ya Rais, Vladimir Putin, Alexei Navalny amesomewa hukumu hiyo baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki maandamano yasiyo halali mwezi uliopita Katika maandamano hayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Tayyip Erdoğan: Mwezi ujao Uturuki itapokea ngao ya makombora ya S-400 ya Russia Jun 13, 2019 06:41 UTC Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, mwezi ujao wa Julai Russia...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya kampuni ya Google na Facebook kutangaza kua hazitafanya kazi na Huawei, sasa kampuni za Microsoft na ARM pia yatangaza kuachana na Huawei. Microsoft inajulikana na patent right zake zote...
6 Reactions
310 Replies
27K Views
Kiongozi Muadhamu: Trump hana ustahiki wa kupewa ujumbe, hatufanyi mazungumzo na Marekani Jun 13, 2019 12:05 UTC Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Habarini za mchana wakuu. Nitawaletea kidogo habari kuhusu huyu bwana mdogo kutoka india ambaye dunia imepata kuona mchango wake katika masuala ya kuchunguza ishu za Kiroho pamoja na Hali zilizo...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Maafisa wa polisi wanaotaka kujiunga na kikosi kipya cha ulinzi wa taifa nchini Mexico wamepewa hadi miezi sita kupunguza uzani la sivyo wafutwe kazi. Maafisa hao wamepewa agizo hilo...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Maelfu ya Wananchi wameendelea na maandamano ya kuupinga utawala wa kijeshi ulioingia madarakani baada ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Omar al Bashir kupinduliwa Wananchi wa Sudan wanaitaka...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
11 Reactions
245 Replies
17K Views
Mfumo maalumu wa kifedha wa INSTEX waanza kufanya kazi Jun 29, 2019 04:20 UTC Helga Schmid, Msaidizi wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amesema kuwa mfumo maalumu wa mabadilishano ya...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
China yapata pigo baada ya nchi za Tanzania na Kenya kusitisha miradi ya mabilioni ya dola. Rais Magufuli wa Tanzania alieleza sababu kuu ya kusitisha mradi wa bandari ya Bagamoyo ambayo...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…