International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mtu mwingine auawa katika ghasia Sudan, Khartoum yasema Israel inachochea machafuko Mkuu wa taasisi ya upelelezi ya Sudan amesema kuwa waasi wenye uhusiano na utawala haramu wa Israel ndio...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukweli ni kuwa miaka 10 tu ijayo Rwanda itakua ni nchi iliyoendelea kupita zote Africa Itakua ni nchi yenye uchumi mkubwa na hata pia nguvu za kijeshi na kiteknolojia Kuna watu watabeza watasema...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Naona huko India wameamua "kujionjesha sumu"! Soma hiyo. ============================== New Delhi (AFP) - India's lower house passed controversial legislation early Tuesday that will grant...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
Eighty-year-old Donzella Washington graduated with a 3.69 CGPA from Alabama A&M University Washington dedicated the achievement to her late husband who she thanked for always pushing her to shoot...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Muuguzi wa dharura nchini Pakistan amekamatwa baada ya kudaiwa kumuiba mtoto mchanga ili ampelekee shangazi yake ambaye hakuwahi kuwa na mtoto. Mtoto huyo mchanga wa kike aliibiwa muda mfupi tu...
1 Reactions
0 Replies
960 Views
Ndege aina ya C-130 Hercules (Si picha halisi ya ndege iliyopotea) Ndege ya Jeshi la Chile iliyokuwa imebeba watu 38 imepotea baada ya kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kuondoka kusini mwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wabunge wa Democrat nchini Marekani wanatarajiwa hivi leo kutangaza vipengele viwili vya hatua za kumshitaki Rais Donald Trump, baada ya kukamilisha kujenga hoja yao juu ya kile wanachosema ni...
0 Reactions
3 Replies
876 Views
Waziri Mkuu wa Sudan: Tumepunguza askari wetu Yemen, tumebakisha wanajeshi elfu tano Dec 09, 2019 12:23 UTC [https://media] Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok amesema, nchi yake imepunguza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Speaking in rare interview with London-based Elaf news site, defense minister continues to talk tough on Iran, vowing to prevent Iranian military presence in Syria, 'whatever the cost' and to 'not...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Spika wa bunge la Sudan Kusini amejiuzulu baada ya kushutumiwa na wabunge wenzake kwa kushindwa hadi wakati huu kuwasilisha ripoti jumla ya ukaguzi wa mahesabu ya serikali. Spika wa bunge la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran. Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Iran yazindua drone mpya yenye uwezo mkubwa wa kivita Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua ndege mpya isiyo na rubani (drone) yenye uwezo mkubwa wa kioparesheni na kivita...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza leo katika kipindi cha miaka mitatu kutafanyika tena kile kinachoitwa Mkutano wa Kilele wa Normandy kuhusu mzozo wa mashariki mwa Ukraine. Mkutano huo ulioandaliwa na Rais wa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
World bank imeikubali kuipa China mkopo wa dola bilioni 1.9 licha ya pingamizi kutoka serikali ya Marekani. Je, wataalamu wa uchumi hii imekaaje kwani huyu China ndio mtoa mikopo mikubwa kwa nchi...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Mteja akila nyama ya mbwa huko Yogyakarta Mei 28, 2011 [Picha: Dwi Oblo/Reuters] Kila mwaka nchini Indonesia, takribani mbwa milioni moja huuuliwa kwa matumizi ya wanadamu. Hii ni kwa mujibu wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtu aliyekuwa anatarajiwa kugombea nafasi ya Waziri Mkuu wa Lebanon Samir Khatib amesema anajiondoa kutoka kwenye kugombea wadhfa huo. Hatua hiyo inaurefusha mzozo wa kisiasa wa nchi hiyo...
1 Reactions
2 Replies
705 Views
Shirika la habari la jimbo la Florida limesema mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman amempigia simu Rais Donald Trump na kutoa rambirambi zake kwa familia na wahanga wa tukio la...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Dr Stergomena Lawrence Tax SADC Executive Secretary Dr Stergomena Lawrence Tax proved why she is the Iron Lady of the region over the weekend when she stood her ground to a barrage of abuse by...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Picha ikionesha moshi uliotanda angani mara tu baada ya volcano hiyo kulipuka. Picha: Michael Schade/AFP Mlipuko wa volcano umetokea katika eneo linalotembelewa na watalii wengi huko nchini New...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mlipuko huo ametokea asubuhi ya leo na imeelezwa kuwa wengi wa waliofariki ni Wafanyakazi wa Kiwanda hicho waliokuwa wamelala Kikosi cha Zimamoto kimefika eneo la tukio na kuendelea na juhudi za...
1 Reactions
4 Replies
45K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…