Wewe jifanye unawatukana na kuwaita Mabeberu huku unaua na kuteka raia wako kwa kisingizio cha kupigana vita ya uchumi huku ukipora na kupoteza matilioni ya fedha za wananchi.
Endelea sana kuteka...
Qassem Soleimani jenerali mkuu wa kikosi cha Quds force huko Iran ameuawa na marekani kwa shambulizi la anga. Huyu ndiye alikuwa anatoa maneno makali sana dhidi ya USA, alimwonya Trump asicheze na...
Ni kawaida kwa Australia kupata majanga ya moto, kwa kile kipindi ambacho kinafahamika kwa jina la fire season, Msimu wa moto. Lakini mwaka huu msimu huu wa moto ni mbaya kuliko yote, hali...
Esmail Ghaani, mrithi wa Qassem Soleimani
Esmail Ghaani, jenerali wa Iran anayechukuwa nafasi ya Qassem Soleimani aliyeuawa katika shambulio la Marekani ameiambia runinga ya serikali leo Jumatatu...
Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22, 2020 ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya amani. Mambo yanayoleta mvutano ni...
Daughter of former President accuses Lourenço government of political ‘witch-hunt’.
January 5, 2020 by David Pilling, Joseph Cotterill.
Isabel dos Santos, Africa’s richest woman and the daughter...
Jengo hilo limeanguka leo asubuhi na mpaka sasa watu 8 wanadaiwa kujeruhiwa huku Mamlaka zikiendelea na zoezi la uokoaji kutokana na baadhi ya raia kunasa kwenye vifusi
Bado haijafahamika haraka...
Dear Media Friends in Nairobi and Dar es Salaam
I am due to be in Nairobi Jan 15-20 and in Dar Jan 20-25. Aims of my trip: to visit families of prisoners in Hong Kong for drug trafficking, and to...
Waandamanaji wengi sana!
An imaginary situation, USA akidondosha ka bomu kamoja katka utitiri huo, ataua wangapi! Kitatokea nini?
Trump amesema " I will hit back severely if Iran retaliates"...
Mzozo wa Iran na Marekani ndio habari ya dunia sasa. Katika makala tatu za mda mrefu ambazo niliandika juu ya Korea, Syria na Iran, nilisema kuwa Syria lazima ivamiwe na kuwa uwanja wa vita maana...
Marekani itarajie kisasi kikali kwa hatua yake ya kumuua Qassim Soleimani
Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni katika Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa, Marekani...
Msemaji mashuhuri wa serikali ya Libya wakati wa mwisho wa uongozi wa 'Comrade' M. Gaddafi (R.I.P), ndugu Moussa Ibrahim yupo hai. Ashukuriwe Mungu kwa hili. Ni mtu muhimu sana ambaye anaeleza...
Habarini wanajf.
Ikiwa ni asubuhi murua kabisa hapa kwetu Tanzania, huko kwa wenzetu USA & Iran mambo ni moto.
Joto la msuguano liko juu sana, Muda wowote vita kamili inaweza kuanza japo...
At least 28 people have been killed in an attack on a military academy in the Libyan capital, the health minister of the Tripoli-based government said.
"An air raid on the military school of...
Rwanda ikishirikiana na kampuni ya Volkswagen na Siemens imezindua magari ya kwanza ya umeme nchini humo yatakayokuwa rafiki kwa mazingira
Mradi huo ulioanza na magari 50 ambayo yametengenezwa...
Juhudi za kimataifa zinaanza huku Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye binafsi aliagiza mauaji hayo ya Jenerali Soleimani, akiitishia Iran kwamba nchi yake itavishambulia vituo muhimu 52 kwa Iran...
The Green Zone of the Iraqi capital, Baghdad, home to the US embassy, and the Balad Air Base, where US troops are stationed, have come under mortar shell and rocket attacks, respectively, police...
Rais Putin wa Urusi amemshukuru Rais Trump na Marekani kwa kuwapa taarifa juu ya shambulio la kigaidi lililopangwa katika mji wa Saint Petersburg. Baada ya warusi kutonywa taarifa hizo Waliweza...
Sayyid Nasrullah: Vikosi vya Muqawama kote duniani kujibu mapigo ya kuuawa shahidi Soleimani ni amri tu imebaki
Jan 03, 2020 13:55 UTC
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema...