International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amedai kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa CoronaVirus imetokea maabara iliyopo Wuhan nchini China Akizungumza na Kituo cha ABC, Waziri huyo amesema...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Hatimaye ikulu ya Marekani yatangaza ufaulu wa dawa dhidi ya Corona, mzungu amekomaa mpaka mwisho, mbarikiwe sana wanasayansi wa Marekani, dunia itawakumbuka daima kwa kutuokoa, haya fanyeni...
17 Reactions
210 Replies
23K Views
A doctor administering a vaccine to a patient. [Source/cnbctv18.com] As the war against the world wide coronavirus pandemic continues, there are many countries and organizations that are trying...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kuwa mimea ya dawa (mitishamba) kama vile Artemisia annua, ambayo imekuwa ikinadiwa kama tiba ya COVID-19, inapaswa kupimwa ili kubaini ufanisi na athari...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Vyafikia 29,427 2. Ndiyo nchi yenye madhara makubwa Ulaya Sky Eclat kuna nini mbona kunazidi kutisha? What is wrong there? pamoja na measures zote ===== UK overtakes Italy to record...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
China imesema wagonjwa wote wa CoronaVirus Mjini huo ambapo mlipuko ulianzia wameruhusiwa na hivi sasa hakuna wagonjwa waliolazwa Hospitali Msemaji wa Tume ya Kitaifa ya Afya, Mi Feng amesema...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Idadi iliyokusanywa kutoka mahospitalini na kwenye nyumba za kulea wazee imefika 288 kwa siku. Hii ni idadi ndogo kutangazwa tangu mwezi March. Waziri Mkuu Boris Johnson ametangaza hatua...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Walipokuwa na kesi moja tu walifunga viwanja vyote vya ndege za kimataifa ikiwa ni pamoja na meli za abiria. Walifunga miji miwili mikuu kwa mwezi mmoja, hakuna kutoka hakuna kuingia ispokuwa kwa...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa zaidi ya watu 30,000 wamefariki wakihisiwa ni kutokana na #COVID19, ikiwa ndio idadi kubwa rasmi ya vifo kurekodiwa Barani Ulaya Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya ebola ‘remdesivir’ itumike kutibu wagonjwa wenye virusi vya corona. Ruhusa ya kutumika kwa dawa hiyo kwa sasa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Brazil imetangaza vifo 5083 huku ikiwa na maambukizi 73,235. Rais Jair Bolsonaro alipuuzia #CoronaVirus kwa kuwaambia wananchi wake kuwa kuna siku kila mtu atakufa ili kuwatoa hofu raia wake...
4 Reactions
65 Replies
13K Views
Vifaa hivyo vilitarajiwa kugundua antobody katika damu ya wagonjwa wa virusi vya corona India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya...
5 Reactions
60 Replies
9K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema halijapokea ushahidi wowote kutoka Serikali ya Marekani kuhusu chanzo cha mlipuko wa Virusi vya Corona, hivyo kwa mtazamo wao suala hilo litaendelea kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza wameonekana maeneo ya Marekani, Urefu wa nchi mbili,ana uwezo wa kumuua mwanadam kwa kumdunga mara kadhaa,na pia ni tishio kwa Nyuki wa asali.. Wanaua watu 50/Mwaka japan ====...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Usafirishaji, Mohamed Salad amesema ndege iliyokuwa imebabe vifaa vya misaada kwa ajili ya kukabaliana na janga la CoronaVirus imeanguka na watu sita waliokuwemo wamefariki dunia Ndege...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
May 3, 2020 10:45 AM Many efforts have been taken by the world health organization in the discovery of the COVID-19 drugs, but few of the have worked. However, the African leaders have not been...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa Urusi Mikhail Mishustin amesema amekutwa na #CoronaVirus amesema anapaswa kujitenga ili kuwaokoa wengine Waziri huyo ameshauri naibu wake, Andrey Belousov kukaimu nafasi ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
China's aim is to take over Africa, they don't even want to rent houses to Africans and still yet they want our jobs? Zambia's new Chinese police officers removed after outcry - BBC News Chinese...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
AFRICAN UNION SUPPORTS COVID ORGANICS MEDICINE FROM MADAGASCAR Addis Ababa- The Bureau of the African Union Heads of States held a tele-conference meeting to discuss in detail the efficacy...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…