China: Mamlaka zasema hakuna mgonjwa wa Corona Virus aliyelazwa hospitali Mjini Wuhan

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
China imesema wagonjwa wote wa CoronaVirus Mjini huo ambapo mlipuko ulianzia wameruhusiwa na hivi sasa hakuna wagonjwa waliolazwa Hospitali

Msemaji wa Tume ya Kitaifa ya Afya, Mi Feng amesema hadi kufikia leo Aprili 26, 2020 Wuhan haina mgonjwa wa Corona aliyelazwa hospitali

Mji wa Wuhan wenye watu Milioni 11 ulikuwa kitovu vya mlipuko wa Virusi vya Corona ambapo maambukizi 46,452 yalirekodiwa.

Watu 3,869 walifariki dunia, idadi hiyo ni takriban 84% vya vifo vyote vya China

======

China says all patients in Wuhan have now been discharged

The Chinese city of Wuhan, where the global coronavirus pandemic began, now has no remaining cases of the infection in its hospitals, a health official has told reporters.

"The latest news is that by April 26, the number of new coronavirus patients in Wuhan was at zero, thanks to the joint efforts of Wuhan and medical staff from around the country," National Health Commission spokesman Mi Feng said at a briefing.

The city had reported 46,452 cases, 56 percent of the national total. It saw 3,869 fatalities, or 84 percent of China's total.

Source: Al Jazeera
 
Hii kwangu ni hitimisho kwamba hakuna hao virus wanaoitwa covid-19.

Chimbuko la ugonjwa halina mgonjwa.
 
kama Wuhan haina mgonjwa , na korona ilianzia hapo basi kuna uwezekano mchina anacheza game , wanasosema huu ugonjwa ulianzia maambara naanza kuwaamini na kuna uwezekano mchina alikuwa na dawa yake tayari katuacha tunahangaika nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao hao wanaosema kama ugonjwa ulianzia maabara ndio hawa hawa waliotwambia kama ugonjwa umeanzia kwapopo nandio hao hao walisema kama ugonjwa huu ni wawachina pekee ila baada yakuona hali imewageukia nawao wanageuka

US inaongozwa na viongozi vichaa kweli kweli nawasio jitambua.....

Sent using My COVID-19
 
Ishu ni mchina mkuu, yeye mwenyewe ndo alikuwa wa kwanza kusema ana korona , wuhan, ndipo ilipoanzia, haya ni maneno ya mchina mwenyewe , na leo anasema Wuhan haina mgonjwa wala maambukizi tena , wakati ambapo duniani ndo kwanza tuna serereka nayo,
huoni kama kuna kitu mchina anacheza? kwa vifo vinavyotokea Us , naye bado ni victim,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine MCHINA anaweza akawa anamchezo anaujua na anaweza akawa hana analolijua
Ishu ni mchina mkuu, yeye mwenyewe ndo alikuwa wa kwanza kusema ana korona , wuhan, ndipo ilipoanzia, haya ni maneno ya mchina mwenyewe , na leo anasema Wuhan haina mgonjwa wala maambukizi tena , wakati ambapo duniani ndo kwanza tuna serereka nayo,
huoni kama kuna kitu mchina anacheza? kwa vifo vinavyotokea Us , Nate bado ni victim,

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwahi kujiuliza kama UCHINA alitake hatua gani katika kukabiliana na hili janga mkuu na uliwahi kujiuliza hayo mataifa mengine unayo yasemea nayo yamechukua hatua gani katika kukabiliana na hilo janga

Mfano uchina baada yakuona hali tete fasta akajena hospital chini ya week mbili kitovu cha ugonjwa(WUHAN) ikapigwa lock down halaf mambo mengine ndio hakaendelea

Je mataifa mengine yalifanya kama hivi ?!

Mfano hapo nliitaja US uliwasikia maneno waliotoa wakat CHINA anataabika na CORONA ila baada ya kutua kwake ss hv unamsikia anasema nani kshasahau maneno yoye alokua anayasema awali ...

Sent using My COVID-19
 
Pengine MCHINA anaweza akawa anamchezo anaujua na anaweza akawa hana analolijuaUliwahi kujiuliza kama UCHINA alitake hatua gani katika kukabiliana na hili janga mkuu na uliwahi kujiuliza hayo mataifa mengine unayo yasemea nayo yamechukua hatua gani katika kukabiliana na hilo janga

Mfano uchina baada yakuona hali tete fasta akajena hospital chini ya week mbili kitovu cha ugonjwa(WUHAN) ikapigwa lock down halaf mambo mengine ndio hakaendelea

Je mataifa mengine yalifanya kama hivi ?!

Mfano hapo nliitaja US uliwasikia maneno waliotoa wakat CHINA anataabika na CORONA ila baada ya kutua kwake ss hv unamsikia anasema nani kshasahau maneno yoye alokua anayasema awali ...

Sent using My COVID-19
kwa jinsi corona inavyoambukiza , ni ngumu sana ku I contain, na chances za kuopona kwa wagonjwa wa korona kunategemea sana uimara wa immune system ndio sababu hakuna guarantee, ya kupona , hata hizo nchi ambazo zimeadvanve sana kisayansi zinasema covid sio ugonjwa wa kuishia leo, wala kesho , sasa China mbinu zote alizofanya wenzake wanafanya ila ye amiemaliza korona ,
kuna uwezekano kuwa ana dawa na alifanya makusudi kuymbisha wenzake kiuchumi mana hakuna inching nitapaki salama kwa hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA Watakuwa wana edit file za dead bodies

Sent using Jamii Forums mobile app

Si ajabu wabaya wa Trump nchini mwake wanaweza kuwa wamekula njama na wachunguzi wa maabukizi ndani ya maabara wakiwa na lengo la ku-inflate idadi ya maambukizi ili Trump aonekane suala la kupambana na COVID-19 limemshinda hivyo hafai kuchaguliwa tena kama Rais for a second term, kumbuka huu ni mwaka wa Uchaguzi nchini mwake. Kusema kweli Idadi ya maambukizi na vifo inatia shaka sana Nchini Marekani, kuna kitu pale si bure.
 
Sio ngumu kui contain tatizo nikwabaadhi yamataifa kujifanya yanajua kila kitu licha yakua more advanced katika njanya zakisayansi

US tunaona majuzi hapa watu wana andamana wanataka lockdown iondolewe na wanajua kama CORONA ina sababishwa pia namikusanyiko unategemea kwa hali ile corona itaondoka US kama ilivyofanya UCHINA ?!

US UK ITALY SPAIN namataifa mengine yakiwemo RUSSIA wakat UCHINA anapambana yenyewe yalikua hata kujali hayajali ITALY watu walikua wanaenda CLUB kama kawaida

UK juzi ndio jana ndio leo BORRIS John anasema kama Wanalegeza baadhi ya masharti yanayotokana na LOCKDOWN utegemeee Corona Kuisha kama ilivyoisha UCHINA ?!

UCHINA analalamikiwa sababu watu wanamambo yao yakisiasa ila uzembe waliufanya wenyewe WUHAN ilipigwa lock hakuna kuingia wala kutoka na nasikia ina wakaazi zaidi ya M10 seuse UK nzima

Sent using My COVID-19
 
Si ajabu wabaya wa Trump nchini mwake wanaweza kuwa wamekula njama na wachunguzi wa maabukizi ndani ya maabara wakiwa na lengo la ku-inflate idadi ya maambukizi ili Trump aonekane suala la kupambana na COVID-19 limemshinda hivyo hafai kuchaguliwa tena kama Rais for a second term, kumbuka huu ni mwaka wa Uchaguzi nchini mwake. Kusema kweli Idadi ya maambukizi na vifo inatia shaka sana Nchini Marekani, kuna kitu pale si bure.
Team Trump wahapa Bongo Mpaka Huko US kwenu mshazoeleka Kusema kila jambo linaloenda kinyume na DT mnasema Anahujumiwa

Atahujumiwa nakila raia kwakosa lipi tatizo babu haambiliki yule

Wanasayansi na mashirika yakijasusi wakimwambia fanya hv yeye anatumia mvi zake kutoa maamuzi ndio maana anakumbana na haya anayokumbana nayo na bado mtasema kila mnayo yahisi kwaubishi wababu yenu bwege yule.....

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom