Ripoti iliyotolewa na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) imesema Matukio kama joto kali na mafuriko makubwa sasa ni hali ya kawaida.
Utafiti umebaini miaka saba iliyopita ukiwemo wa 2021 ina...
Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu.
China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi...
Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali...
Jaribu kuangalia hii makala iliyoandaliwa na chombo cha habari cha WION
. Tatizo langu halipo kwenye news outlet hii but nashangaa pale serikali inapoamua kuchukua hatua kudhihiti machafuko...
Biden apewa ushauri hatari wa kupeleka mabomu ya atomiki Taiwan ili kukabiliana na China
Oct 19, 2021 07:44 UTC
[https://media]
Taasisi moja ya wanafikra wenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini...
Israel ilikua inataka kuishambulia Iran kupitia Azerbaijan ambayo ni nchi jirani ni Iran
Tayari inasekemana ndege za Israel za F-35 zipo ndani ya Azerbaijani tayar kuishambulia Iran
Wakati huo...
Waziri wa biashara wa Marekani Gina Raimondo ameviambia vyombo vya habari vya nchi hiyo kuwa nchi hiyo inapaswa kushirikiana na washirika wake wa Ulaya ili kuzuia China kupata teknolojia ya hali...
Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia.
Maelfu ya wananchi...
Kesho Afrika kusini itafanya uchaguzi wa serikali za mitaa(LGE). Ushindani mkubwa ni kati ya ANC, DA na EFF .
Licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali Kama madini nchi hii ya bondeni mwa...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa Kundi la mataifa 20 yaliostawi na yanayoinukia kiuchumi G20 yana uwezo wa kuzuia janga la virusi vya corona kuenea...
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa Alhamisi ameiomba Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya Zimbabwe akisema kwamba vimeongeza janga la kibinadamu pamoja na kudorora kwa uchumi, wakati akipendekeza...
Mwanaharakati Rémy Daillet ashtakiwa kwa kupanga njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya Ufaransa
Mwanaharakati maarufu wa mrengo wenye siasa kali wa kulia nchini Ufaransa ameshtakiwa kwa tuhuma...
Duniani kuna aina za nchi kulingana na mfumo, nguvu zake kiuchumi, kijeshi na kisiasa:
1. Super powers
Hizi ni nchi zinazoitawala dunia. Ndiyo zinashikilia mfumo unaoendesha dunia (ideology)...
Mamlaka nchini Belarus imefungia tovuti ya shirika hili la utangazaji Deutsche Welle, DW, linalomilikiwa na serikali ya Ujerumani. Haya yametangazwa leo na shirika hili katika makao yake makuu...
Kiongozi wa Kijeshi wa Sudan Abdel-Fattah al-Burhan amewafuta kazi mabalozi karibu sita waliokosoa mapinduzi ya kijeshi. Mabalozi wa Sudan nchini Marekani, Umoja wa Ulaya na Ufaransa walitangaza...
Serikali imeainisha chaneli tatu maarufu za Upinzani Mitandaoni kama Mashirika yenye itikadi kali, ikimaanisha watu wanaweza kufungwa jela kwa hadi miaka saba kwa kujisajili.
Chaneli katika...
Maandamano ya kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan yameendelea, huku Ripoti zikidai idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka kufikia 11.
Watendaji katika baadhi za...
Maduka, Migahawa na Shule za Mji Mkuu wa Urusi, Moscow zimefungwa wakati Taifa hilo likikabiliwa na ongezeko la maambukizi na vifo vinavyotokana na Covid-19. Maduka ya bidhaa muhimu na yale ya...
The Supreme Court unceremoniously rejected Rep. Mike Kelly’s (R-Pa.) bid to overturn federal election results in Pennsylvania on Tuesday, a request that would have blocked his own victory on the...
Historic day [emoji1134][emoji1256]
Today, as part of the “Blue Flag” exercise, the Commander of the United Arab Emirates Air Force, Maj. Gen. Ibrahim Nasser Mohammed Al Alawi, arrived for a...