International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kimbunga Tornado kilicho tawanyika na kuyakumba maeneo ya majimbo sita tofauti nchini Marekani kimesababisha watu zaidi ya 70 kupoteza maisha. Akithibitisha athari hiyo Gavana wa jimbo la...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Germany bid farewell to Merkel with six minutes of warm applause. The Germans elected her to lead them, and she led 80 million Germans for 18 years with competence, skill, dedication and...
12 Reactions
22 Replies
4K Views
Austria imeondoa leo vizuizi kwa watu waliopata chanjo kote nchini humo, wiki tatu baada ya kutangaza upya masharti makali ya kupambana na kupanda kwa wimbi la maambukizi ya virusi vya corona...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Naskia huko waziri mkuu wa Ethiopia ameingia front line kwenye mapambano na waasi wa Tigray, ila awe makini sana la sivyo atadondokea pua na hawa waasi kimasihara wanaweza fanya mambo makubwa...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa. Taarifa hiyo...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu habarii za muda huu? Poleni sana na majukumu naomba kupata maarifa juu ya maswali hapo juu. Naomba kuwasilisha wakuu
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Bunge la Ujerumani limepiga kura kuifanya chanjo dhidi ya virusi vya corona kuwa sharti la kisheria kwa wafanyakazi wa sekta ya afya kuanzia mwezi Machi mwaka ujao. Muswada wa sheria hiyo...
1 Reactions
1 Replies
892 Views
Olaf Scholz Bunge la Ujerumani limepiga Kura na kumpitisha Olaf Scholz wa Social Democrat Party kuwa Kansela mpya wa Nchi hiyo baada ya Angela Merkel ambaye ameitumikia kwa miaka 16. Scholz (63)...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana. Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa. Chini ya Trump...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Taarifa kwa mujibu wa BBC Other documents show how Azerbeijan's ruling Aliyev family have secretly acquired UK property using offshore companies. The files show how the family - long accused of...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Serikali ya Ghana imesema kwamba wasafiri wote wanaoingia nchini humo kuanzia saa sita usiku jumapili hii, wanastahili kuwa wamepokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona. Wizara ya huduma za afya...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF. Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Takriban watu 53 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafirishwa kupata ajali Kusini mwa Nchi hiyo. Mamlaka zinasema zaidi ya watu 100 wanaosemekana kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bangladesh imewahukumu adhabu ya kifo wanafunzi 20 wa chuo kikuu kufuatia mauaji ya mwaka wa 2019 ya kijana mmoja aliyeikosoa serikali kwenye mitandao ya kijamii. Mwili uliokuwa umepigwa vibaya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Marekani haitatuma wawakilishi rasmi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi huko Beijing. Kwa mujibu wa Ikulu ya Marekani, njia mojawapo ya kukemea ukandamizaji wa jamii ya Uyghur nchini...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha Aung San Suu Kyi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ripoti iliyotolewa na Reporters Without Borders (RSF) inasema China ni mkamataji mkubwa wa Waaandishi wa Habari Duniani, ikielezwa takriban Wanahabari 127 wanashikiliwa hivi sasa. Imeeleza, China...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa inayohusika na amani SIPRI inasema watengenezaji wakubwa wa silaha duniani kwa kiasi kikubwa waliepuka anguko la kiuchumi lililosababishwa na janga la Covid-19...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
The effects of H. E. Samia Suluhu Hassan Royal Tour has started rapidly showing an extraordinary impacts on tourism sector and tourists attractions all over the country, The World biggest...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…