International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

After the withdrawal of Western forces from Afghanistan last year, the Taliban regime took over but has not received international recognition. Afghans are now resorting to desperate measures to...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China lafanyika Leo Tarehe 31 Januari mwaka 2022 ni siku ya mkesha kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa jadi kwa kalenda ya kilimo ya China, ambao...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ripoti mpya ya wataalam wa Umoja wa Mataifa imeeleza kwamba takriban watoto 2,000 waliosajiliwa na waasi wa Kihouthi wa Yemen kuwa wapiganaji, walifariki vitani, kati ya Januari mwaka 2020 na Mei...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wana kimataifa ningepata kupata mawzo yenu, je kama marekani ya leo ingeshindwa kwenye vita ya ukombozi dhidi ya taifa mama Uingereza, je hili taifa namba moja kwa uchumi na jeshi duniani...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo mapema wiki hii kuitisha kuondoka kwao likionekana kuwa pigo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Protestors show their support for the Freedom Convoy of truck drivers who are making their way to Ottawa to protest against COVID-19 vaccine mandates by the Canadian government on Thursday, Jan...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Recep Tayyip Erdogan ametishia kuwa Vyombo vya Habari Nchini humo vitachukuliwa hatua ikiwa vitasambaza maudhui aliyodai yanaharibu Maadili ya Msingi ya Nchi Rais Erdogan hajaweka wazi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiongozi wa Upinzani kutoka chama cha labour party ameapishwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke Nchini Honduras.. Xiomara Castro,Mwanamke wa mlengo wa kushoto amechukua madaraka ya Nchi hiyo baada ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
For some reason naona Kamala atakuja kurithi Urais kama Samia. Sioni how Biden atafikisha miaka nane Ikulu..unless otherwise wasipate second term.
1 Reactions
7 Replies
912 Views
Shirika kubwa zaidi la mahusiano ya umma duniani la Edelman, hivi karibuni limetoa ripoti ya mwaka 2022 ya “Edelman Trust Barometer”, ikionesha kuwa imani ya Wachina kwa serikali yao imefikia 91%...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kamshina wa Haki wa Umoja wa Ulaya, Didier Reynders amesema anatarajia kuona WhatsApp inafuata Sheria za Umoja wa Ulaya ambazo zinalenga kuwalinda Wateja na Faragha zao WhatsApp imebakiza mwezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ten of the Deadliest Martial Arts Styles in the World- Don't try this at Home For centuries mankind has been involved in warfare and violence and as a consequence had to develop weapons and...
5 Reactions
77 Replies
13K Views
Biden alijinasibu na kutoa ahadi kemkemu na kumtupia lawama lukuki Trump Ndani ya mwaka mmoja wa Biden, vifo vya Covid-19 marekani vimezidi vifo vilivyoripotiwa chini ya Trump, wakati Biden...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon. Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi ya Januari 24, Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kusitisha Uanachama wa Burkina Faso, lakini kwa sasa haijaweka vikwazo vyoyote...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali ya kustaajabisha, nchini Marekani kumetokea wizi wa aina yake; ambapo wezi wabobezi wamefanikiwa kuiba daraja. Nisikuchoshe, jisomee mwenyewe. ====== Police in Akron, Ohio are...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kundi la Wanajeshi lililomtoa madarakani Rais Roch Kabore limewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Kidemokrasia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ripoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya chini ya Mataifa masikini zaidi duniani yalichangia vifo vya...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya Njaa Kaskazini mwa Nchi hiyo ikielezwa zaidi ya 80% ya Familia hazina uhakika wa chakula, hali inayopelekea Watoto chini ya miaka mitano kuwa na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…