International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

EXCLUSIVE Iran's Guards push to name next leader outside legal procedures 2 hours ago Listen to this article The Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) is insisting on the swift appointment of...
0 Reactions
19 Replies
636 Views
Nimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote...
6 Reactions
52 Replies
732 Views
Ndege ya Israel aina ya F-35 yapiga chini ya Iran aina ya YAK-130, yaani wataalam wanaita air-to-air takedown. Hii vita inanipa raha hadi naumwa. Kwenye maonyesho ya kijeshi mataifa hupenda...
4 Reactions
21 Replies
602 Views
🚨 "HEIR APPARENT" OR "MEDICAL MYSTERY"? US Intel Drops Bombshell on Khamenei’s Potential Successor 📂💊 As the dust settles on the ruins of the Tehran command centers, U.S. Intelligence has leaked...
0 Reactions
6 Replies
309 Views
Kutokana na ripoti za mapema Machi 2026, Marekani na Israel zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa makombora ya kuzuia ulinzi wa anga impamoja na mifumo ya Arrow na THAAD . Kuna hatari sana kupigana...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Fununu tu kwamba atamrithi baba yake imetosha awindwe, aisei Israel ni balaa.... Mojtaba Khamenei has reportedly survived the strike on Iran and is seen by the establishment as the prospective...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezionya nchi za Ulaya dhidi ya kujiunga na vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani. Alisisitiza kuwa hatua yoyote dhidi ya Iran itatafsiriwa kama...
1 Reactions
2 Replies
394 Views
Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama. Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
1 Reactions
8 Replies
225 Views
Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel...
1 Reactions
7 Replies
265 Views
Rais wa Marekani Donald J Trump, ameliagiza shirika la fedha la nchi hiyo kutoa bima kwa bei nafuu kwa biashara zote za baharini, hasa mafuta yanayopitia mlango Bahari wa Hormuz unaomilikiwa na...
4 Reactions
11 Replies
281 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani na Israel zililazimishwa kuishambulia Iran ili kujilinda kwakuwa Iran ilikuwa inajiandaa kufanya mashambulizi . Soma Waziri wa Ulinzi wa Israel...
1 Reactions
1 Replies
309 Views
Zimbabwe’s government says its decision to halt the export of lithium concentrates and other unprocessed minerals was driven by growing concern that the country was losing control over a strategic...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Iran imeonya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa shambulio lolote la Marekani litalisababisha Tehran kulirejelea shambulio dhidi ya Israel na kambi za kijeshi za Marekani katika eneo hilo kama...
0 Reactions
6 Replies
490 Views
Kuwaelewa makobaz kunahitaji elimu isiyo ya kawaida. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan – The death toll from a suicide bombing at a wedding near the Afghan border rose to seven on Jan 24, police said...
13 Reactions
60 Replies
1K Views
  • Redirect
Sababu kuu ya vita hiyo ni epstein's files "the unthinkable war was his only solution"
0 Reactions
Replies
Views
Mipango yote ya nchi ilikua inaratibiwa hapo, jengo ambalo kwa ukubwa lilikua limechukua barabara yote, Iran inarudishwa nyuma miaka mingi sana. Ndege za Israel zimeteka anga yote, maeneo yote...
4 Reactions
13 Replies
730 Views
Ukweli ni kwamba US na Israel hawakubali kuaibika, hawakubali kushindwa. Hakuna sheria inayowazuia kufanya lolote hata kutumia Nyuklia kuangamiza Tehran yote ili waonekane washindi Kuna taarifa...
1 Reactions
23 Replies
522 Views
Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
2 Reactions
16 Replies
541 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…