International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai. Hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika sehemu ya mashariki ya mji wa Detroit nchini Marekani, kupitia picha za satelaiti, tunaweza kuona ukuta unaotoka kaskazini hadi kusini na kupitia mitaa minne, ambapo umetenganisha sehemu ya...
7 Reactions
64 Replies
4K Views
Habarini za jioni wanajamvi , katika kufatilia vifaa vya kijeshi vinavyo tolewa na Ukraine kutoka USA ..nimeona sana helicopter za mi- series ambazo katika kufatilia hutengezwa urusi Sasa...
1 Reactions
5 Replies
958 Views
Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Simu inayomilikiwa na serikali nchini Ethiopia, Mei 9 ilizindua huduma ya simu za mkononi ya 5G na kuifanya nchi hiyobkuwa miongoni mwa nchi chache zenye huduma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo...
8 Reactions
125 Replies
8K Views
Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
(Kichwa Cha habari kikipambwa na wale wenye Mapenzi mema na Ubabe na uvamizi wa nchi nyingine) Katika maonesho hayo mjini Moscow yalipambwa na vifaru vipya ambavyo vitapunguza gharama ya logistic...
17 Reactions
64 Replies
5K Views
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametuma salamu za pongezi kwa Rais Vladimir Putin baada ya kusherehekea siku ya ushindi ya Urusi, akielezea mshikamano thabiti wa nchi yake na Urusi...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Chama tawala nchini Sweden kinatarajiwa kuanza mchakato wa kuamua endapo nchi hiyo iwasilishe ombi la uanachama katika jumuia ya NATO au laa ifikapo tarehe 15 Mei mwaka huu. Hayo yanakuja ikiwa ni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtaalamu wa uzalishaji na biashara za mafuta na gesi wa Abudhabi bw Said Albakr amebainisha kuwa iwapo nchi za Ulaya zitaendelea kujizuia kununua gesi ya Urusi basi wasitarajie kupata mbadala...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Ukiitazama hii vita katika jicho la kijeshi ni dhahiri urusi imefeli! Imefeli kwa sababu imeshindwa kufikia malengo yake ya uanzishaji hii vita! Lengo la Kijeshi la Urusi ilikuwa ni kuingia Kiev...
39 Reactions
140 Replies
9K Views
Raia wa marekani wamejikuta wao ndio wamekuwa wahanga wakubwa wa vikwazo alivyowekewa urusi. Pesa ya Urusi imeongezeka thamani baada ya vikwazo kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo. Hii ni kinyume...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9. Elon mwanzoni...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Bilionea Musk amesema kitendo cha mtandao wa Twitter kumfungia maisha aliekua rais wa Marekani Bw. Trump kwenye mtandao huo ilikua ni makosa makubwa na ameahidi akikamilisha mchakato wa kuinunua...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Watu waliokutwa wameuwawa katika mji wa Bucha, Ukraine wote walikuwa wamejifunga kitambaa cheupe mkononi kama ishara ya kuwa upande wa urusi na kuomba msaada kutoka wanajesh wa urusi. Hii maana...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Vikwazo kwa Urusi imekuwa baraka kwake. Katikati ya vikwazo avuna mahela kuliko kipindi ambacho hakuna vikwazo. ====== Russia’s Q1 Trade Surplus Hits Record As Oil And Gas Prices Soar By Charles...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Takriban wafungwa 43 wameuawa kufuatia ghasia kati ya magenge hasimu ya Los Lobos na R7 kwenye gereza la Santo Domingo. Ecuador inapambana na wimbi la ghasia zinazohusisha magenge ya uhalifu, na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila May 9 uwa ni siku ya ushindi wa Urusi ambao unahusisha Ukraine, Russia, Macedonia, Hungary (Kosovo) Lithuania , Estonia na jumuiya yoote ilokuwa ya USSR, ushindi huo uwa siyo wa Urusi bali wa...
13 Reactions
56 Replies
4K Views
Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…