Urusi yazindua Vifaru vipya. Waapa kuichukua Kyiv kwa saa 24

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
(Kichwa Cha habari kikipambwa na wale wenye Mapenzi mema na Ubabe na uvamizi wa nchi nyingine)

Katika maonesho hayo mjini Moscow yalipambwa na vifaru vipya ambavyo vitapunguza gharama ya logistic

Na ni rahisi askari wao kujinasua watakapoona Javelin hivyo kuwaepusha na vifo vingi na pia kutokana na gharama zake katika kuvibuni Russia itapunguza gharama kubwa katika mapambano

ZZZZZZZZZZZZZ​

20220510_151741.jpg
 
View attachment 2219054
Hicho sio kama cha WWII maana hata uniform niza WWII
 
(Kichwa Cha habari kikipambwa na wale wenye Mapenzi mema na Ubabe na uvamizi wa nchi nyingine)

Katika maonesho hayo mjini Moscow yalipambwa na vifaru vipya ambavyo vitapunguza gharama ya logistic

Na ni rahisi askari wao kujinasua watakapoona Javelin hivyo kuwaepusha na vifo vingi na pia kutokana na gharama zake katika kuvibuni Russia itapunguza gharama kubwa katika mapambano

ZZZZZZZZZZZZZ​

View attachment 2219054
mwezi wa 3 sasa
 
hahaaa watakapoona Javelin ? kumbe Javelin imesababisha kimbembe enhh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom