International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32...
1 Reactions
1 Replies
810 Views
China imetoa takwimu mpya za kitaifa za spishi za viumbeanuai, ijulikanayo kama Katalogi ya Orodha ya Mwaka 2022 ya Viumbe hai vya China. Kwa mujibu wa Taasisi ya Sayansi ya China (CAS), orodha...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Mkutano wa 73 wa Baraza la Afya Duniani (WHA) umeanza jana huko Geneva, Uswiss, ambapo utafuatilia masuala makubwa yakiwemo janga la COVID-19 na afya ya dunia inavyohimiza pendekezo la amani...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Jeshi la Ulinzi wa Taifa la Ethiopia (ENDF) limesema kuwa washukiwa 233 wa uasi kutoka kikosi cha ukombozi wa Oromo (OLA) wamejisalimisha katika siku za karibuni. Katika taarifa yake kwa vyombo...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Ndg zetu Wanaopata kuwa ambassadors wanaabisha nchi. Mods naomba urekebishe title. Marais wateue waliosomea international relations and diplomacy Mh Rais ateue wenye fani wataalamu wa uhusiano...
0 Reactions
3 Replies
657 Views
Mazoezi makubwa zaidi katika historia ya ya Baltics ya Muungano wa kijeshi wa Nato yanaanza baadaye hii leo. Mazungumzo hayo yamepewa jina la siri la Hedgehog. Mzoezi hayo yatafanyika katika...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Dunia inapaswa kuwa na uangalifu kuhusu maambukizi ya Virusi vya Monkeypox ambayo yanazidi kusambaa na unaweza kusababisha athari mbaya ikiwa utaendelea...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amewataka wananchi wa nchi hiyo wale majani ya miti na kusema kuwa, hata Mtume Muhammad SAW alifikia kula majani ya miti kwenye Bonde la Abu Talib wakati...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo. Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Serikali za mataifa duniani zinatakiwa kutoa ruzuku kwa ajili ya gharama ya chakula na nishati kwa watu maskini zaidi katika jamii. Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ameiambia BBC. Watu...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Baada ya Uongozi wa Taliban kuagiza Watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini humo kuziba nyuso zao wanapokuwa wakitangaza mapema mwezi huu, hatimaye amri hiyo imeanza kutekelezwa...
0 Reactions
7 Replies
792 Views
Mamlaka za afya ziko macho kutokana na kuenea kwa ugonjwa hadimu unaofanana na tetekuwanga ambapo Ureno ilisema Jumatano iligundua visa viwili, Uhispania inafanya majaribio kwa watu 23 wenye...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
Urusi imetoa orodha ya watu 963 wakiwemo Wamarekani maarufu kuwa ambao hawaruhusiwi kuingia Urusi kutokana na sababu mbalimbali. Jina maarufu lililoongezeka katika orosha hiyo mbali na Rais wa...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani. 1. Aliondoa...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri mkuu mstaafu wa Pakistan bwana Imran Khan ameisifia serikali ya Modi (India) kwa kutokusalimu amri kwa mikwara mbuzi ya Marekani juu ya India kununua mafuta ya Russia kitu ambacho...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’ Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani. 1. Aliondoa...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili. Ramzan Kadyrov...
24 Reactions
224 Replies
19K Views
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi. Bandari ya Mariuopol...
13 Reactions
68 Replies
5K Views
Wakuu, Wenzetu huko kuna vita vya kutaka kuhalalisha utoaji mimba. Speaker Nancy anaunga mkono uhuru wa abortion kitu kilichomchefua Askofu wake. Hii chini ndio taarifa ya Askofu inayotikisa...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…