Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Za chini ya Kapeti kutoka katika Taasisi moja ni kwamba kumbe ' Mukulu ' mwenyewe kwanza alitaka mishahara yao ipunguzwe kwakuwa ni mikubwa halafu hata tija yao si kubwa kivile ila watangulizi...
5 Reactions
47 Replies
9K Views
Maisha yana changamoto zake ndugu zangu..Vipato vimekuwa vya shida na biashara haziendi, inakubidi kuomba msaada au kuombwa msaada na ndugu, jamaa na marafiki! Ila kuna janga jipya mjini la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni Tshs 3,000 najua wengi hapa mtanicheka na kunikebehi ila hili suala limenifungua macho ni kwa kiasi gani haya makampuni yanaibia wananchi,ni nani wa kutetea raia dhidi ya wizi huu? kuna hata...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Poleni na kazi, Naomba nitoe angalizo kama kichwa cha habari hapo juu, Jana nilikwenda bank moja pale Lumumba kutoa pesa kwa ajili ya biashara zangu. Nilikuta foleni kubwa pale kutokana na...
15 Reactions
129 Replies
15K Views
Wajameni, kama kuna mtu ana zile meseji za kufoward kwa watu kumi ili nitendewe miujiza naomba anifoadie. Maana sasa hivi naona labda zitanisaidia sababu nlikuwa nazipuuza sana. Hali ngumu sana...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Baada ya kumfuatilia kwa miaka kadhaa nimeona si mbaya kumleta jamvini kwa wanaomfahamu na wanaopenda kumjua pia.Dr Myles Munroe(from Bahamas) ni mmoja kati ya great mentors ever lived for his...
4 Reactions
29 Replies
8K Views
Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Wakuu yaliyonikuta eneo la CRDB tawi la Mbezi Luis usiku ni majanga,ile ATM ya tawi la Mbezi Luis inahudumia watu wa kuanzia eneo la Kibamba,Mbezi,Msumi,Maramba Mawili,Kifulu mpaka Kimara Mwisho...
15 Reactions
47 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Mazingira Luhaga Mpina leo July 7, 2017 ameamuru Ofisi ya Mkurugnezi wa Jiji la DSM kulipa faini ya Tsh. 25m ndani ya siku 14 na kutoa maagizo mengine ya kiutendaji baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Alikuwa anatafuta hela kwa madereva waliokuwa wanaenda Saba Saba jana kwa nguvu pale magomeni makutano ya Morogoro road na kawawa road huyu mwanadada mdogo na mwenye umbo dogo. Nilipita pale mida...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Taifa changa barani Afrika la Sudan Kusini laiomba Serikali ya Tanzania kupeleka Walimu wa somo la lugha ya Kiswahili kwakuwa lugha hiyo itaingia katika mtaala wa Elimu baada ya kupitisha azimio...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
habar ndugu zangu...kama kichwa cha thread kinavyosema natafuta mtu yeyote ambae ni tour guide ili niweze kuwasiliana nae maswala ya biashara Au kama kuna namna ambayo naweza kumeet na...
1 Reactions
2 Replies
579 Views
By Tumaini Msowoya, Mwananchi;Tmsowoya@mwananchipapers.com Jana, habari hii ya simulizi ya Msitu wa Nyumbanitu iliisha wakati mmoja wa waongozaji wetu, Alex aliporudia sharti la kutembea kwa...
3 Reactions
20 Replies
12K Views
Heshima kwenu mabibi na mabwana, poleni na heka heka za maisha, Km kichwa cha habari kinqvyosomeka, ni wakati muafaka wa kuifanya dunia kuwa pahala salama kwa binadam, Baada ya kupata muda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanagenzi, Habari Nilizonazo Mpaka Sasa Kutoka Uongozi Wa Serikari Ya Wanafunzi Chuo Cha Madini Dodoma(M.R.I.S.O) Ni Kuwa Mpaka Sasa Kumekuwa Na Sintofahamu Ya field kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kam akweli unajiamini unaweza na mpinzani wako hakuwezi kwa nini upigane naye huku umemfunga kamba za mikono na miguu? mbaya zaidi majaji wa pambano umewachagua wewe na unawalipa? cha kuchekesha...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
JITATHMINI BABU alimkabidhi mjukuu wake jiwe, kisha akamwambia: "Jiwe hili nimekupa, ni la kwako. Nenda ukaulizie thamani yake, lakini usiliuze kwa gharama yoyote." Kijana akalichukua jiwe lake...
14 Reactions
24 Replies
3K Views
Ilikuwa hivi wakati Rais Trump amemaliza kumsalimia mwenzake wa Poland mara moja akaelekeza mkono wake kwa Mke wa Rais wa Poland lakini kwa ' mshangao ' mkubwa Yule Mke wa Rais wa Poland hakumpa...
3 Reactions
57 Replies
9K Views
Ninashida ya kufika hizi office za TTCL Dar es salaam NORTH,zipo maeneo gani hapa Dar? Msaada wakuu Mimi Deadbody
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzanian MP arrested for insulting 'problematic' Magufuli A female Tanzanian MP has been arrested for allegedly insulting President John Magufuli, who is seen as increasingly authoritarian and...
28 Reactions
120 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…