Mamlaka za usafiri zinaangalia sana uimara wa mabasi yenyewe ikiwa ni pamoja na uimara wa matairi yaliyofungwa kwenye mabasi hayo, jambo ambalo ni muhimu sana kwa ajili ya usalama wa abiria...
Mkurugenzi wa Udhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Abdallah Mhagama, amesema kuwa kanuni na sheria zinazosimamia utoaji wa huduma za usafiri ziko wazi, na zinaweka...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe kuwarejesha wafanyabiashara wa Soko la Mawasiliano (Simu 2000) ili kuendelea na...
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimesema huduma za usafiri zitaendelea kutolewa kama kawaida kufuatia mazungumzo kati yake na Serikali. Katibu Mkuu wa TABOA, Priscus John, amesema...
Kama ulikuwa hujui, basi habari ndio hii: Mtu mwenye ngozi nyeusi kama sisi, ambaye sasa amefika mbali sana katika anga za juu, hajamsahau Mungu aliyemfikisha hapo.
Huyu si mwingine ni Victor...
Uzuri wa JF kuna wataalamu wa kila aina hua nawaona sana wakiichambua vita za mashariki ya kati.
Sasa leo nataka mnipe nondo zaidi kuhusu hichi kikosi kilichoenda kumnyakua maduro kama wanadaka...
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk...
Moja kwa moja .
Katika mechi ya kimataifa ya Kirafiki wiki hii kati ya timu ya taifa ya Uhispania (Spain) dhidi ya Misri (Egypt) kundi mashabiki wa Spain walisikika wakiimba na kuruka "Asiyeruka...
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Upendo Nkone, amemuomba radhi Mwimbaji mwenzake Martha Mwaipaja kufuatia kauli aliyoitoa kwenye moja ya mahojiano, akidai kuwa aliwahi kutishiwa Maisha kupitia simu...
Kwanini kama miaka ya nyuma NASA Waliweza kufanya landing mwezini kipindi cha cold war kwanini hii misheni ya Artemis 2 objective ni just kuuzunguka mwezi kitu ambacho naamini hata chombo...
Habari za Leo viongozi humu ndani hii ni barua ya masikitiko kwa wizara ya ujenzi mimi ni mkazi wa Kigoma ujiji mwaka 2022 selekali kupitia TANROADS Kigoma walifanya vikao kadhaa na wananchi wa...
Katika pitapita zangu fb mara nikakutana na video ya Vicky Kamata kajipost facebook kwenye page yake akiuza sura na gwanda ya Tawa akiwa kwenye gari akielekea kwenye majukumu yake maana kwa sasa...
Hizi ni baadhi ya SABABU ila inayoshinda na isiyo na shaka ni MOJA.
SABABU.
unakuwa na njaa sana kabla ya kula ukizingatia chakula Cha MSIBANI uchelewa kuliwa, mnaweza kula saa 9, 10, WENGINE ni...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inapaswa kujenga uchumi imara unaojiendesha kwa kutegemea mapato yake ya ndani.
Akichangia Bungeni, Shigongo ameeleza kuwa mchango wa mapato ya...
Nimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lakini akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale...
Humo amesema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita 6000 kwa lita ambayo kwa Tzs ni milioni 16+
Akaongeza kwa USA bei ya mafuta ni dola elfu 8000 ambayo ni sawa na Tshs 20mil.