Usaili ni jambo la mtambuka sana tofauti na linavyotumika hapa kwetu Tanzania!
Usaili nikiwa na maana ya ule utaratibu unaozingatiwa katika kutafta wafanyakazi bora katika taasisi zetu, hufanywa...
Kuna tatizo la maeneo tofauti kutokuwa na umeme kwa muda mrefu na bila taarifa toka TANESCO. Ni vyema tukapaswa kujua mapema kama ni tatizo la mgao wa umeme basi tujipange mapema kwa kukodisha...
Na Alfred Mgweno (TEMESA MWANZA)
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu, ameshiriki katika zoezi la kuweka msingi wa ujenzi wa kivuko kipya kitakachotoa huduma ya...
Hapa kwetu Masasi umeme wetu umekuwa kama wa mshumaa, upepo ukivuma kidogo unazima.
Tanzania ya viwanda yaja..............
Sent using Jamii Forums mobile app
Pasi ya kusafiria ya Ujerumani ndiyo kwa sasa ina nguvu kubwa duniani kwa kuwa na uwezo wa kutumika kuingia katika nchi 176 duniani bila kuwa na viza.
Nchi inayofuatia kwa kuwa na pasi yenye...
Wakuu nina hitaji kumiliki Pingu kwa matumizi yangu binafsi, je naruhusiwa kununua na wapi zinapatikana?
#maisha kusaidiana wadau!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uharibifu wa mazingira ya bahari umekuwa mkubwa sana, uvuvi wa kutumia mabomu umetamalaki, uvuvi wa kutumia nyavu zenye matundu madogo umetamalaki na lengo lao kubwa ni kuhakikisha hawatoki patupu...
Wakulima wilayani Songea mkoni Ruvuma wameiomba serikali kuongeza kiwango cha ununuzi wa mahindi kutoka tani 6000 ambazo mkoa wa Ruvuma umepangiwa kununa pamoja na kuruhusu uuzaji wa mahindi nje...
Imekuwa kawaida sasa kero kwa wakazi wa Dar hasa wenye gari aina ya Pick au kirikuu ni shida,Lazima watakutafutia kosa au umpe chochote. Imefikia mpaka tunawaona maadui zetu. Wanatengeneza uhasama...
Tarehe 30-31.8.2017 ZAIDI YA KAYA 91 KIJIJI CHA KANOGO NA CHABUHORA WILAYA YA KARAGWE Mkoani Kagera, waachwa BILA MAKAZI, bila chakula na katika mahangaiko makubwa.. Wahanga wanahitaji msaada wa...
Sheli iliyoko Mwandoya ambayo ni Mhe. Njalu Silanga (Mb) CCM- Bariadi Magharibi inauza mafuta bila kutoa list za EFD
SHELI HII ILIWAHI KUFUNGIWA MARA MBILI MWAKA HUU ndio wakafunga MASHINE hiyo...
KUNA usemi unaosema ukicheka na nyani utavuna mabua, hali hii inajidhihirisha katika matukio ya wanafunzi wa kike kukatishwa masomo
kutokana na kupata ujauzito na kusababisha kushindwa kufikia...
Mlima Kilimanjaro kuendelea kutangazwa upo Kenya na serikali ya Kenya/raia wa Kenya, Nani alaumiwe? Nini kifanyike?
Je ni uzembe wa wahusika kutotangaza vivutio vyetu?
Ni uzembe wa viongozi wetu...
Leo napenda kukushirikisha habari juu ya kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha WATOTO WETU TANZANIA zamani kikijulikana kama FRIENDS OF DON BOSCO pale Kimara Suka.
Kituo kilianzishwa mwaka 1998 na...
Mtoto hapewi anachotaka bali anapewa anachostahili.
Watoto na vijana wengi bado hawajajua kitu cha kutaka chenye faida ya kudumu maishani Mwao.
Tanzania Tuliyopo na Tunayoiendea, Ardhi na Elimu...
Hii ni kutoka ka wengi kutaka kuwahi kupata vipimo kwa wataalamu mbalimbali wa afya, katika zoezi litakaloratibiwa na mkuu wa mkoa wa Dsm. Zoezi hili litoe taswira ni kwa kiwango gani wahitaji wa...
Za leo wakuu.
Pitapita zangu leo nimeingia ofisi moja pale Mzumbe University ya Upanga, uyu mwanamama anafundisha pale ila mezani kwake ana magazeti ma2 ya udaku na 1 kalishikilia anasoma...
Mifuko iliyozinduliwa ni Kupanga Mipango, Kuandaa Bajeti na Kutolea taarifa za hatua za Utekelezaji wa Bajeti (Planning, Budgeting and Reporting System- PlanRep) pamoja na mfumo waKufanya Malipo...
Kampuni ya utengenezaji wa magari ya Ashok Leyland India, imepokea oda ya thamani ya USD 170 milloin kwa ajili ya usumbazaji wa magari na spea toka kwa serikali ya Tanzania. Pamoja na usumbazaji...