Ruby Morogoro
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 161
- 83
Kuna tatizo la maeneo tofauti kutokuwa na umeme kwa muda mrefu na bila taarifa toka TANESCO. Ni vyema tukapaswa kujua mapema kama ni tatizo la mgao wa umeme basi tujipange mapema kwa kukodisha generators kuokoa biashara zetu.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app